Hivi kweli Black ni beautiful?

Hivi kweli Black ni beautiful?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.
 
Sio ninyi ndo mmekua mkituponda wanaume weupe imekuaje mnabadilika?
 
Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.
Bila shaka wewe ni mmoja wa wale mliokuwa mnatoa comments za kibaguzi kwa Klepin Diatta wa Senegal kuhusu muonekano alionao na rangi ya ngozi yake.

Sasa hivi tunavyoondika hapa yeye na timu yake wako uwanjani wanasaka tiketi ya kushiriki nusu fainali ya Afcon, wakati litimu lenu limeshatoka na tumelisahau... mamaee.

Halafu unavyoongelea mtu mweusi na mtu mweupe unamaanisha nini hasa lightskin na darkskin au? maana hata wewe hapo ni mtu mweusi manyoko.
 
Hivi huyu ni mweusi au ni
CD389A16-CB63-4481-97C8-C0F2AFC89534.jpeg
mweupe?
 
Bila shaka wewe ni mmoja wa wale mliokuwa mnatoa comments za kibaguzi kwa Klepin Diatta wa Senegal kuhusu muonekano alionao na rangi ya ngozi yake.

Sasa hivi tunavyoondika hapa yeye na timu yake wako uwanjani wanasaka tiketi ya kushiriki nusu fainali ya Afcon, wakati litimu lenu limeshatoka na tumelisahau... mamaee.

Halafu unavyoongelea mtu mweusi na mtu mweupe unamaanisha nini hasa lightskin na darkskin au? maana hata wewe hapo ni mtu mweusi manyoko.
Huyo uliyemtaja ni nani sijawahi hata kumsikia. Ndio mimi mtu mweusi lakini sina rangi mweusi nyeusi na sivutiwi na watu wenye rangi nyeusi hasa ktk uhusiano.
 
Lakini kama kweli

Huo msemo "black is beauty" ni kama namna ya kuencourage watu weusi waendelee kutunza uasili wao...sio kama ni big deal ama wanavutia kiviiiiile
 
Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.
Bila shaka wewe unatokea kanda ya Ziwa maana mnachanganyikiwa sana na rangi nyeupe
 
Huyo uliyemtaja ni nani sijawahi hata kumsikia. Ndio mimi mtu mweusi lakini sina rangi mweusi nyeusi na sivutiwi na watu wenye rangi nyeusi hasa ktk uhusiano.
Iko hivi, uwe unafanana kama Moze Iyobo au Hemedy Suleiman, so long as wewe ni mtu unayotoka jamii ya watu weusi mbele ya macho ya mzungu utaendelea kuwa Nyani tu.

Klepin Diatta ana umaarufu na pesa kuliko hata bwana yako unayemwiita "mweupe"
 
Back
Top Bottom