kuna mtu ninamfaham yupo kwenye kikundi cha ushangiliaji cha azam yeye ni mnazi mkubwa wa yanga, Mechi ya yanga na azam akiwa uwanjani shabiki waazam akitoka wa yangaLazima itakuwa na mashabiki mkuu, tena wanaoipenda kwa dhati........mimi nilikuwa mshabiki wa ushirika ya Moshi mpaka inapotea katika soka la Tanzania bado naikumbuka, naamini Azam ina mashabiki wengi tu.
kuna mtu ninamfaham yupo kwenye kikundi cha ushangiliaji cha azam yeye ni mnazi mkubwa wa yanga,Mechi ya yanga na azam akiwa uwanjani shabiki waazam akitoka wa yanga
SItaki kuamini kama Azm fc,inamashabiki wa kweli,Minachofaham mashabiki wao ni wa kununuliwa au ni wafanyakazi wa Pale Azm complex yaani wana maslahi na timu.Ninachofanya ni kuwapa pole kwa kupambanisha mioyo yao na pesa,yaani huku shabiki wa simba/yanga lakini unalzimisha kuishanglia timu adui yako uwanjani.Mtapata KISUKALI SHAULI YENU!
Muongo ww! Pesa tu!
mimi shabiki wa AZAM
Halafu mashabiki wengi wa azam ni wanafiki ile mbaya. Ushahidi na hl ninao Haaa hw wanaofanya kazi ktk kampuni ya bakhresa ukiwakuta wanavyojiganya kuiongea vzr kweli utafkr ni kweli lakn wengi wao wachumiatumbo tu. Usione vijiwe vya kushangilia kama pale magomeni kagera, ubungo bus teminal, maeneo ya chamaz pale hakuna kitu. Mashabiki gani mpk walipwe. Hv timu inanunua mashabiki au mashabiki wanaihangaikia timu. Ss hl kwa azam ni timu inanunua mashabiki. Anyway swali la kipuuzi kwa wanajf kama timu inanunua mashabiki itashindwa kununua ushindi?
njoo ununuliwe na wewe kama unapenda azam ikishinda inanunua ikifungwa hawajui lakini ipo siku tu mtaipenda..
Kama kuipenda ningeipenda wkt huoooo siijui nje ndani. Tyr naijua a to z thubutu siwezi kuishabikia wala kuipenda timu kama azam. Kama sio kufilisika kimpira ni nn! Hadi Kombe la mapinduzi unahonga ili ushinde kombe. Kichekesho zawad ni ndogo kuliko gharama ilizotumia kulichukua. Nonsense. Huo ni mfano mmojawapo ila ipo mingi sana. Au na ww mchumiatumbo unaebebwa kwenye fuso then unapewa buku jero ilihali wajanja wenzenu wachache wanapata furushi kubwa kwenda kukauka koo?
Mzee mwenzangu tuko pamoja ile kinomaa ila chama tangu lianze kuwashika bado sija kanyaga bongo ila nakupataga kupitia hili janvi. Viva AZAM nao tem maj outro quipa no mundo qui vo gostarduu kazi kweli hapa jeiefu azam mara nyingi ni mimi eke yangu waliowengi huniunga mkono sehemu chache sana hapa kila mtu ataongea yake anavojisikia..
Mzee mwenzangu tuko pamoja ile kinomaa ila chama tangu lianze kuwashika bado sija kanyaga bongo ila nakupataga kupitia hili janvi. Viva AZAM nao tem maj outro quipa no mundo qui vo gostar
Kwanini unambishia mkuu?Muongo ww! Pesa tu!