Hiyo ndiyo hali halisi ya dunia ya sasa, asilimia kubwa ya watu (hata mimi) tunatabia hiyo, ukiangalia komenti nyingi utagundua wengi waliokomenti ndiyo tabia yao hiyo. Siku hizi mpenzi wako ni wetu na mpenzi wangu ni wako, ni wako pale unapokuwa nae tu, mkiachana tu si wako, mpaka pale mtakapokutana tena. Hapa ni bora kujifunza kuishi bila kumchunguza mwenza wako, vinginevyo utautesa MOYO wako bureeeee!