Shisha hatuitaki piaKumbe tuko selective eh?tunapokea hili kwenye utamaduni wetu,na tunakataa lile....
Kwa nini tunachagua hili na sio lile?Lool
Sijui km umenielewa,as sometimes naongea huku naendika,lol
Kwa nini tunakubali shisha na tunabagua ushoga?
Sio jambo la nature. Ni utashi wa binaadamu usiokuwa na mantiki. Sasa mbona kama unataka uhalalishe?Mkuu embu fafanua jinsi gani ngozi nyeupe walivyokoleza ushoga, na kwanini ushoga sio utamaduni wetu?
Mnh haya,Heee we vipi?..! Unaambiwa iga kizuri achana na ya kishenzi, kwanza hata hiyo shisha tunaipiga marufuku baada ya kugundua sio nzuri
Kila jamii ina utashi wake ktk kitu fulani. Jamaica bangi. Tz ngoma za asili. Etc sasa lakini hivi vitu vimetazamwa na kuona viwe ni sehemu ya jamii ile. Sasa ushoga sio hata utamaduni wao hao wamarekani lakini wameukubali. Sio kila kinachofanywa na wao tukubali. Sio lazima. Na hatujui mna maslahi gani na ushoga kwanini mnaupigia debe.Mkuu embu fafanua jinsi gani ngozi nyeupe walivyokoleza ushoga, na kwanini ushoga sio utamaduni wetu?
Utashi wa binadamu. Ukumbuke kila binadamu ana utashi wake. Na utashi usio kuwa na mantiki . Kumbuka binadamu akili yetu inawaza vitu tofauti. Na ndo imepelekea ivyo. Lakini kumbuka kuna uraibu. Na uraibu ndo utanakufanya uulize huu upumbavu. Wote ni upumavu hata usagajiMnh haya,
Ukiulizwa kwa nini ushoga ni utamaduni wa kishenzi?najua hautanijibu lol
Nini mwanzo wa utamaduni wetu?je mashoga hawakuwepo ktk mwanzo huo wa utamaduni,kwa nini mnasingizia ni wawest ndio wameleta ushoga?
Mashoga sio utamaduni wa wa Africa, mashoga sio utamaduni wa Marekani,Sasa mashoga ni utamaduni wa wapi?Kila jamii ina utashi wake ktk kitu fulani. Jamaica bangi. Tz ngoma za asili. Etc sasa lakini hivi vitu vimetazamwa na kuona viwe ni sehemu ya jamii ile. Sasa ushoga sio hata utamaduni wao hao wamarekani lakini wameukubali. Sio kila kinachofanywa na wao tukubali. Sio lazima. Na hatujui mna maslahi gani na ushoga kwanini mnaupigia debe.
Unataka ukweli au unataka tubishane? Ubishi naujua. Na leo sina kazi tutakesha humu. Shauri yakoKm sio nature,how and where did this,originatefrom?how comes it came to existence?
Nature don't neeed us. But we need our mother nature. Ni hivi sio lazima. Kwetu kulipatia huo uhitaji unaotaka wewe eti tukubali. Tunatofautiana vipaumbele.Mashoga sio utamaduni wa wa Africa, mashoga sio utamaduni wa Marekani,Sasa mashoga ni utamaduni wa wapi?
Kwa nini km tuna mashoga, kwa nini 'tusitazame na kuona iwe sehemu ya jamii zetu'?as you put it.
nina was was na ww mmmmKumbe tuko selective eh?tunapokea hili kwenye utamaduni wetu,na tunakataa lile....
Kwa nini tunachagua hili na sio lile?Lool
Sijui km umenielewa,as sometimes naongea huku naendika,lol
Kwa nini tunakubali shisha na tunabagua ushoga?
Wewe jinsia gani. Nataka nitoe mfano. Kwasababu wazungu wanakwambia. "A GOOD EXAMPLE HAS A TWICE VALUE THAN A GOOD ADVICE"Mie pia niko free,tukeshe tu.
Sijakulazimisha ukubali au ukatae lolote.Nature don't neeed us. But we need our mother nature. Ni hivi sio lazima. Kwetu kulipatia huo uhitaji unaotaka wewe eti tukubali. Tunatofautiana vipaumbele.
Laugh out loud young girl. Is the only thing you have to doSijakulazimisha ukubali au ukatae lolote.
Na wala usije ukatumia the word 'kwetu' namaanisha wewe na nani? Unaandika as if hakuna gay Tanzania,bali kuna mafuso yanakuja kuleta mashoga hapo ulipo lool
Mnh haya,
Ukiulizwa kwa nini ushoga ni utamaduni wa kishenzi?najua hautanijibu lol
Nini mwanzo wa utamaduni wetu?je mashoga hawakuwepo ktk mwanzo huo wa utamaduni,kwa nini mnasingizia ni wawest ndio wameleta ushoga?
upo sahihi mkuu ushoga apele hukoooWewe demu vipi. Unataka tukupe sababu gani.? Ushoga hatuutaki na sababu hatukupi na lolote uwezi kunifanya na kama shoga usiombe ukutane na mimi.
We Rebeca vp? ushoga haufai na wala si jambo la kulipa nafasi kabisa, mashoga hawakuwepo kabisa katika utamaduni wa kiafrika, tena makabila mengi ilikuwa akigundulika mtu kashiki tendo hilo aliuawa kabisa, yaani hakupewa hata fursa ya kuendelea kuishi. Waafrika ukiwa na nguvu za kutoka wewe ongeza wake uwatakao hata mia ni juu yako kuwatendea haki tofauti na wazungu utamaduni wao ni mke mmoja tu, sasa hilo likawawia gumu ajili sio maumbile ya mwanaume kuwa na Mke mmoja, yaani hakuna mwanaume aliyekamili anaweza kuvumilia na mke mmoja.
hiyo ikapelekea wazungu kuwa na nyumba ndogo(vimada) maana utamaduni wao ni mke mmoja tu na wakawekea sheria katika katiba zao kwamba polygamy ni kosa kikatiba na hadi sasa nchi nyingi sheria hiyo bado inatumika, sasa tamaa za kimwili za mwanaume kamili haziruhusu hali ya mke mmoja, nini option ndio wakaingia kwenye kuridhishana wenyewe kwa wenyewe(waume kwa waume) kuona hivyo na wanawake wakaanza nao (wake kwa wake), ikazoeleka kwa muda mrefu hadi ikawa ni kawaida.
Hayo ni matokeo ya kulazimisha mume mke mmoja ilhali maumbile ya mwanaume hayaruhusu, muulize mwanaume yeyote yule aliyekamili na afya njema kama anaweza akawa na mke mmoja pekee.
Mbona wanahojiwa live but hii serikali pendwa inayokataza huo ushoga wala haiwakamati na hata hao wanaopromote pia hawawakamati??? Hii Ni dalili ya kwamba inasupport kimya kimya....Ila matamko ndio MengiWe Rebeca vp? ushoga haufai na wala si jambo la kulipa nafasi kabisa, mashoga hawakuwepo kabisa katika utamaduni wa kiafrika, tena makabila mengi ilikuwa akigundulika mtu kashiki tendo hilo aliuawa kabisa, yaani hakupewa hata fursa ya kuendelea kuishi. Waafrika ukiwa na nguvu za kutoka wewe ongeza wake uwatakao hata mia ni juu yako kuwatendea haki tofauti na wazungu utamaduni wao ni mke mmoja tu, sasa hilo likawawia gumu ajili sio maumbile ya mwanaume kuwa na Mke mmoja, yaani hakuna mwanaume aliyekamili anaweza kuvumilia na mke mmoja.