Kataa dhambi ile. Uhanisi unauma usiombe ndo uwe mzaziHaya umesikika.
hahaha uta mfanyaje ukikutana naeWewe demu vipi. Unataka tukupe sababu gani.? Ushoga hatuutaki na sababu hatukupi na lolote uwezi kunifanya na kama shoga usiombe ukutane na mimi.
Uvutaji wa shisha ni utamaduni wetu? Kama la, ulitokea wapi?Thanks.
Hao mashoga Sasa walitokea wapi? Km sio utamaduni wetu?lool
Wananijuaga. Nilitangazaga vita na mashoga wa bongo wote.hahaha uta mfanyaje ukikutana nae
Kumbe tuko selective eh?tunapokea hili kwenye utamaduni wetu,na tunakataa lile....Uvutaji wa shisha ni utamaduni wetu? Kama la, ulitokea wapi?
Mkuu embu fafanua jinsi gani ngozi nyeupe walivyokoleza ushoga, na kwanini ushoga sio utamaduni wetu?Ushoga ni ushetani... na si tamaduni yetu.. maana walio ukoleza ni ngozi nyeupe. Na ukicheki ninkitendo chenye madhara mengi hata kiafya.. na nilaana kubwa mbele za Mungu.
Poa poa........ Huo ni utamaduni wa Obama sie wetu ni kula wake zaidi ya mmojaMambo?

Heee we vipi?..! Unaambiwa iga kizuri achana na ya kishenzi, kwanza hata hiyo shisha tunaipiga marufuku baada ya kugundua sio nzuriKumbe tuko selective eh?tunapokea hili kwenye utamaduni wetu,na tunakataa lile....
Kwa nini tunachagua hili na sio lile?Lool
Sijui km umenielewa,as sometimes naongea huku naendika,lol
Kwa nini tunakubali shisha na tunabagua ushoga?