Hivi kwanini watu weupe wanatubagua watu weusi?

Hivi kwanini watu weupe wanatubagua watu weusi?

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,897
Reaction score
40,100
Habari wakuu...nimekuwa nikijiuliza hivi hawa watu weupe hivi huwa wanaongozwa na nini mpaka kufikia hatua ya kutushusha thamani watu weusi..ukiangalia hata dini walizotuletea zinahubiri usawa na upendo..inakuwaje wao tena wavigeuke vitabu vyao walivyotuaminisha kuwa ni maneno ya MUNGU..tena mwenye upendo na huruma..au walituletea hizi dini hili kutupumbaza ?..kama vitabu vyao vya dini vinahubiri usawa na upendo kwa viumbe wote...iweje wao watubague sisi weusi?
 
Hakuna watu siwafagilii kama wazungu ngozi nyeupe ni washenzi sana lakini huku kwetu tunawababaikia kinoma!!
 
Ongea watu gani ucjumlishe wote. Kingine je wale walio maoficni weuc na wanabaguwa watu pia tuwajumlishe ni weuc wote wabaguaji kisa section zao au?
 
Habari wakuu...nimekuwa nikijiuliza hivi hawa watu weupe hivi huwa wanaongozwa na nini mpaka kufikia hatua ya kutushusha thamani watu weusi..ukiangalia hata dini walizotuletea zinahubiri usawa na upendo..inakuwaje wao tena wavigeuke vitabu vyao walivyotuaminisha kuwa ni maneno ya MUNGU..tena mwenye upendo na huruma..au walituletea hizi dini hili kutupumbaza ?..kama vitabu vyao vya dini vinahubiri usawa na upendo kwa viumbe wote...iweje wao watubague sisi weusi?

naona unawaza badala ya kufikiri, uko na akili ndogo sana
 
Mbona hata sie weusi tunabaguana sana? Hata weupe kwa weupe wanabaguana kupita kiasi. Weupe wa Ulaya 'maskini' kama Estonia na Romania wanabaguliwa na weupe matajiri km akina Ujerumani na Italy. Kwa hio ubaguzi upo kila pembe.
 
sisi watu weusi ndo tunaanza ubaguzi mfano mdogo ni ukitaka kufua nguo huwezi kamwe kuchanganya nguo nyeupe na nyeusi na ukisha fua nyeupe yale maji ndo unaloweka nguo nyeusi so tuanze na kuchanganya nguo zote pindi tunapofua chenge ni mimi ni wewe ni sisi
 
wazungu lazima wambague mswahili. inavunja moyo sana kuona waswahili hawajui hata kutumia toilet za kizungu. kwa udhibitisho nenda sehemu walipo weupe na weusi ka sheraton. kilimanjaro etc. utakuta mweusi akitoka toilet hawezi ku flash. mpaka mhudumu afanye kazi hiyo. nilifikiri ni toilet za midume tu lakini kwa kina dada ndio kuna madudu zaidi
 
Ubaguzi bana upo sehemu zote kweli kuna watu weupe ni wabaguzi kwa suala la ngozi sawa!! lkn hata wenyewe kwa wenyewe wanabaguana kama wadau waliotangulia walivyosema,,LKN WAKUBWA AFRICA KUNA UBAGUZI WA KIMAKABILA NA KIMAENEO ,MTU KUKUPA KAZI MPAKA UWE KWENYE KABILA LAKE AU MKOA WAKE HAYA WEWE MTOA MADA UMELIONA tena nalo hilo!! ubaguzi wa Africa umechanganya na ujinga/upumbavu,,wewe angalia ubanguzi hapo tz ulivyojaa sekta zote!!..unatakiwa kupitia kwanza kujua namna ya ubaguzi usio faa hapo bongo kama hujawahi baguliwa wewe jaribu kuuliza watu wa rika tofauti watakueleza namna wanavyobaguliwa watu.''I DON'T SMILE BUT MY WALLET SMILE''
 
Ubaguzi conspiracy. ..sisi kwetu kuwaona wahindi watu wabaya kujenga chuki dhidi yao hatuoni km ni ubaguzi...kumdharau mtu kisa kabila lake sehemu atokako au imani au dini hatuoni kama ni ubaguzi..baadhi yetu kuona uarabuni ndio bora kuliko kwa waliberali na vise versa hatuoni...muhimu jua dhambi ya ubaguzi pia ipo kwetu na unafanya nibi juu ya hiyo hali katika ngazi ya chini kabisa..
 
sisi watu weusi ndo tunaanza ubaguzi mfano mdogo ni ukitaka kufua nguo huwezi kamwe kuchanganya nguo nyeupe na nyeusi na ukisha fua nyeupe yale maji ndo unaloweka nguo nyeusi so tuanze na kuchanganya nguo zote pindi tunapofua chenge ni mimi ni wewe ni sisi

Una matatizo makubwa wewe.
 
Unadhan kwann din zilianzia kwao? Kwann isiwe Africa? Din zimeanzia huko kwasababu wao ndio walikua washenzi zaidi... this is a fact!!!!
 
Sasa kama rais wako wa nchi kila siku yuko kwao kuomba misaada huku anadhahabu,gas,tanzanite, makaa ya mawe,limestone, bahari nk na bado anaomba hela na sio mbinu kwa nini wasitubague???
Kama nchi ya liberia inasaidiwa mpaka vitanda vya kulaza wagonjwa na hao weupe sasa kwa ni i wasitubague...
tufanyeni kazi, viongozi wetu waache ujinga, tujenge mataifa yetu, tutumie rasilimali zetu vizuri, tubifunze technolojia... Tuwe na maguvu ya kiuchumi halafu tuone kama watatubagua!!!!
Tutaendelea kubaguliwa tu kwa kuwa tuna shida na tunaziendekeza shida,,, tunaiga mpaka tamaduni zao, dini zao, lugha zao sasa kwa nini wasitubague,,, tuwe na vyakwetu halafu muone kama tutabaguliwa.... Hata kwenye familia yenu ukiwa rofa utabaguliwa tu na ukiwa tajiri wote watakusujudia,...
 
Wanatubagua kwa sababu ya akili zetu ziko kwenye ukibaka au udokozi ndo maana huwa na wasi wasi kuwa pamoja na siyo kwa rangi hata wao pia wapo weusi tena wamizidi wao huwo weusi labda nyewele tu ndo hapo sawa zao ni za tambi na sisi za kipili pili mbuzi
 
sisi watu weusi ndo tunaanza ubaguzi mfano mdogo ni ukitaka kufua nguo huwezi kamwe kuchanganya nguo nyeupe na nyeusi na ukisha fua nyeupe yale maji ndo unaloweka nguo nyeusi so tuanze na kuchanganya nguo zote pindi tunapofua chenge ni mimi ni wewe ni sisi

Umemaliza mdau
 
rangi nyeupe ni kama maziwa au karatasi,wingu ,unga n.k
hao unaaona weupe si weupe ni pink like pumpkin actually
rangi yao halisi ni sawasawa na nguruwe kwa hiyo wanajaribu kukwepa rangi hiyo.
But black is true black beauty,and brown colour from god almighty
.
 
Back
Top Bottom