Hivi kwanini watu wanapenda kuuliza kazini kwako unalipwa shilingi ngapi?

Dada mwenye mshahara wa kaki 3 na nusu unatembele Toyota Brevis, umepanga chumba cha laki 2 kwa mwezi na unakula KFC daily kwanini tusikuoji??
Wewe sasa unachanganya mambo - hoja hapa ni KUULIZA SIYO KUHOJI MSHAHARA WAKO! Hivi ni vitu viwili tafauti sana. Ila kama kuna watu wanakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi, basi wana nia na lengo la KUTAKA KUKUKOPA! Usihamaki, ila tafuta jibu au majibu ya KISTAARABU TU!
 
Hilo swali kwa upande wangu linanikera sijui kwa upande wenu wanazengo?
Ukiona unaulizwa Sana Hilo swali ujue pia na ww umeweka mazingira ya kuulizwa hivyo I mean like seriously kazi nafanya mm what is the point ya kumwambia mtu kiasi ninacholipwa!!? Itamsaidia nn me nachojua Ni kwamba hakuna mtu anaesemaga total amount ya mshahara wake kwa mtu , na ukiona ujue Ni Muongo weng wao hupunguza au huongeza
 
Back
Top Bottom