Hivi kwanini watu wana oa na kuolewa?

Hivi kwanini watu wana oa na kuolewa?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Aise nimekuwa nafikiria sana kutokana na rafiki zangu. Changamoto nyingi sana za maisha ya kuoana na kufanya watu wafe haraka.
Hivi kunaumuhimu wowote wa kuoa au kuolewa?
 
Inategemea mtu na mtu, mwingine anaweza kuona umuhimu wa kuoa/kuolewa pamoja na changamoto chungu nzima zilizopo ndani ya ndoa kwa kuamini kwamba yeye na mume/mke wake mtarajiwa watazifanyia kazi changamoto hizo na kuzishinda, na mwingine baada ya kuzifahamu hizo changamoto akaamua mie sioni umuhimu wowote wa kuoa/kuolewa.

Aise nimekuwa nafikiria sana kutokana na rafiki zangu. Changamoto nyingi sana za maisha ya kuoana na kufanya watu wafe haraka.
Hivi kunaumuhimu wowote wa kuoa au kuolewa?
 
hivi kwanini watu wanakuwa na maswali ya ajabu hivi, kama mkristo soma biblia ina majibu ya swali lako kioho zaidi, mimi ntakupa kimwili.
 
Hilo ni swali rahisi mkuu!
Wewe jiulize ni kwanini mungu aliumba jinsia mbili tofauti yani Ke na Me?
Ingekuwaje dunia ingekuwa ni Me tu?
Au ingelikuwa ni Ke tu?watu wangewajibika?
Watu wanaoa na kuolewa ili maisha yawepo na dunia isonge mbele ni mpango wa mungu mwenyewe!
 
Wakati mwingine unajiuliza uhusiano wako na wazazi wako ukoje? Una makaka au wadada na wana umri gani? Huna wajomba na mashangazi?
Ongea na wakwenu utatufanya tukutukane bure!!!!
 
Kama si kuoa au kuolewa usingekuwepo. Jiulize we una sababu ya kuwepo hapa duniani? Kama ipo utakuwa umepata jibu.
 
aise nimekuwa nafikiria sana kutokana na rafiki zangu. Changamoto nyingi sana za maisha ya kuoana na kufanya watu wafe haraka.
Hivi kunaumuhimu wowote wa kuoa au kuolewa?


hakuna umuhimu.
 
Majaribu na fursa hapo hapo. Baba nani taratibu kitanda kinapiga kelele!
 
shahawa huzalishwa kwa kasi mtu anapofikia miaka 25 kuendelea mpaka 45 ndio hushuka.
 

Hapa kuna mambo yafuatayo

Huo umri utakuwa umedanganya

Kama ni umri wako basi uwezo wako wa kufikiri uligoma kukua tangu zamani sana

Kama hilo tatizo hapo juu halipo basi uliwahi kuumizwa sana kiasi kwamba umeamua kulichukia hilo jambo

USHAURI
Kama kuna kinachokuhusu kati ya hivyo hapo juu tafuta msaada haraka sana!
 
Back
Top Bottom