Ally maliki
Member
- Sep 3, 2019
- 10
- 6
Halafu ukute katokea kigoma, ni balaa!Jamani hili nalo lifanyiwe uchunguz kisayansi kitugani kinachowafanya watu wafupi kuwa wakorofi au ubish?
Inferiority complex!Jamani hili nalo lifanyiwe uchunguz kisayansi kitugani kinachowafanya watu wafupi kuwa wakorofi au ubish?
Halafu ukute katokea kigoma, ni balaa!
🤣 🤣 🤣 🤣Wewe hujui kwamba watu wa Kigoma wamekuolea dada yako, hao ni shemeji zako angalia kijana,🤣🤣