Unataka wafanye kazi gani za kutumia nguvu na akati saivi ni akili tu inahitajika.Hapana mkuu simaanishi hao namaanisha ambao hawajatumia kilevi chochote, watu wamekua nyoronyoro sana tatizo nini.
Unatumia vipimo gani kupata uzito wa miili yao.Itakua ni hii misosi tu maana naona mtu anakitambi lakini mwepesi kama karatasi.
Kama hakuna meza jeFata jirani yako hapo piga kikumbo kidogo lazima aangukie meza.
Sasa wewe ambaye utampiga kikumbo huyo jirani yako,wewe unakua umejitoa kwenye hicho kizazi cha sasa ambacho wewe unadai ni kizazi chepesi sana?Fata jirani yako hapo piga kikumbo kidogo lazima aangukie meza.
Mmhhh!!!, Sidhani.Sasa hivi tuko kwenye dunia ya technology, Dunia ya kutumia minguvu imeshakwenda na kina Goliath huko,
Watu unaosemea kwa sasa hawana impact tena tuko modarated,
Akili nyingi, Nguvu kidogo
Nakubaliana na wewe.Maisha yanabadilika sana,watu wanakula hovyo na vyakula wanavyokula haviwapi nguvu wala akili.Tuna hali mbaya