Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,669
- 40,917
Wazee wetu sijui walikua na utaratibu gani wa maisha ila naona miili yao ina nguvu sana tofauti na Wa kizazi cha sasa.
Hata mtu akiwa na mwili mkubwa ila ukimsukuma kidogo tu anapepesuka, au hata kumsalimu unasikia kabisa jinsi alivyo mwepesi.
Tatizo ni nini?
Nini siri ya wazee wetu kuwa na miili yenye nguvu tofauti na sasa wenye miili teke teke?