Hivi kwanini watu wa kizazi cha sasa ni wepesi sana?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,632
40,790
Wazee wetu sijui walikua na utaratibu gani wa maisha ila naona miili yao ina nguvu sana tofauti na Wa kizazi cha sasa.

Hata mtu akiwa na mwili mkubwa ila ukimsukuma kidogo tu anapepesuka, au hata kumsalimu unasikia kabisa jinsi alivyo mwepesi.

Tatizo ni nini?

Nini siri ya wazee wetu kuwa na miili yenye nguvu tofauti na sasa wenye miili teke teke?
 
Sasa hivi tuko kwenye dunia ya technology, Dunia ya kutumia minguvu imeshakwenda na kina Goliath huko,

Watu unaosemea kwa sasa hawana impact tena tuko modarated,

Akili nyingi, Nguvu kidogo
 
Maisha yanabadilika sana,watu wanakula hovyo na vyakula wanavyokula haviwapi nguvu wala akili. Tuna hali mbaya
Itakua ni hii misosi tu maana naona mtu anakitambi lakini mwepesi kama karatasi.
 
Hapana mkuu simaanishi hao namaanisha ambao hawajatumia kilevi chochote, watu wamekua nyoronyoro sana tatizo nini.
Unataka wafanye kazi gani za kutumia nguvu na akati saivi ni akili tu inahitajika.
 
Nakushauri hiyo research yako kaimalizie kwa kumpima ubavu Mwarabu fighter kisha leta mrejesho hapa.
 
Hii tabia ya kuongea ongea kwa hisia zinazokujia kichwani siipendi sana.

Mchukue mzee wako huyo mwenye nguvu akawekeane msuri na UNDE MOTO WA TIPA au kama unaweza kusaini mkataba wa kifo ili nisifungwe mlete mzee wako apimane ubavu na mimi kama mujanunua sanda.

Upuuzi sana huu ya kibabu chako akawe na nguvu kuliko Mudi Mnyama.
 
Labda wewe na wanaume wenzako wa daslam mnaokula chipsi mayai iliyo kaushwa na mishikaki miwili
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom