Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Bwana yule na BashiteCHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
ustadhi!chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
CCM walikula rambirambi za tetemeko la ardhi huko KageraCHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
Mkuu unaongea Kongo Mungu mwema anakuona.Mimi ninachojua ni kwamba wasiopendwa ni majizi, mafisadi, vilaza, wahujumu uchumi, majambazi, na wafojaji wa vyeti wa CCM mfano Daud bashite&sizonje
Umekosea.Ungejiuliza hivi. "Hivi kwa nini mimi siipendi chadema" Ungeeleweka vema.Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Nikuwekee matokeo halali ya ubunge jimbo la kyela , kabla mitutu ya bunduki haijatumika ?CHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
M.p.umbavu wewe na familia yakoCCM walikula rambirambi za tetemeko la ardhi huko Kagera
CCM inawatesa Watanzania kwa ufisadi (wizi wa fedha) za umma
CCM ni majangili wa nchi hii