[emoji121]Habari wakuu, Mimi ni miongoni mwa kijana ninayeishi nyumba za kkupanga, katika mtaa huu ninao kkaa kuna jirani yangu tulikuwa wote mabachelor juzijuzi tu kaoa ila anammendea mpangaji mwenzangu wa kike aliyeamia hapa juzi tu, kila akiona kaenda bafuni kuoga anasimama mlangoni mpaka anamaliza kuoga Yule binti, Hivi ni kwanini wanandoa wengi wanakuwa na tamaa za hovyo Hivi
Hapana mkuu huyu jamaa kaoa juzi tu amekuwa akimkodolea macho Sana Yule binti, mke wa jamaa huwa hashindi pale kwake ni mtumishi serikalini huwa anasafiri kikazi Mara kwa mara na Yule binti muda mwingi amekuwa off Hivi ni kwanini wanandoa Kama Hawa awaridhiki na ndoa zao ukizingatia bado changa sanaNilichogundua ni kwamba wewe na huyo jamaa wote mnamuangalia huyo mwanamke akienda kuogoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ww sema unamtaka huyo demu tu unaona jamaa anakuzidi kete
Hi!Kama ambavyo nawe wamkodolea ndivyo na wenzio wanamkodolea. Nyie kodoeni tu, fahari ya macho.
Eti? Wewe ni mwalimu wa kiswahili?Kuvunjika kwa pakacha sio mwisho wa uhunzi
Hi!
Mwalimu wa englishEti? Wewe ni mwalimu wa kiswahili?