Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,342
- 1,400
Si uliteuliwa kuwa mwalimu mkuu, unahitaji uteuzi gani tena?Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo
Wao ndio wasaliti namba moja, kwenye uchaguzi wao wanatumia kama kondomu.Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo
Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo
Hivi kateuliwa?Kingwendu anakwenda tikisa nchi soon
Kocha wa niniMajaliwa siyo kocha kama bwana Jose Murinho?
We nakuona DC katika ubora wakoUalimu kazi ya laana! Alisikika mlevi mmoja akimnanga mwalimu baada ya mwalimu kumuomba amnunulie gongo!
Nami namuunga mkono mlevi.