Hivi kwanini walimu hawapati teuzi?

Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo
Si uliteuliwa kuwa mwalimu mkuu, unahitaji uteuzi gani tena?
 
Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo
Wao ndio wasaliti namba moja, kwenye uchaguzi wao wanatumia kama kondomu.

Wasubiri kusimamia mbio za mwenge.
 
Masikini walimu!
Ila hawajui tu,hawa watu wa kundi hili ni makini sn katika utendaji.Sema mwalimu mwendazake aliumiza sn watu.
 
Tatizo mna roho mbaya mnasagiana kunguni nyie kwa nyie siunaona tumeliwapa urais tu nusu tutapike Koo mungu akaona akamua achukie mwalimu so tulieni
 
Kuna mwalimu mmoja ndo naona kalamba uteuzi, wakati kiuhalisia ndo walitakiwa wengi walambe teuzi...
 
Walimu nafasi yenu ni ya kipekee nchi hii
Nyie nafasi yenu ni u first lady sawa ndugu zangu
 
Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo

Wanapata mbona teuzi za kusimamia mitihani kuandikisha kura na hata teuzi za kusimamia uchaguzi, sasa unataka wateuliwe kwingine hizo kazi afanye nani?
 
Naunga mkono hoja ,ila walimu wakipata nafasi hizo, kwa namna wanavyopenda kunyanyasana sijuiii...
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom