KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,147
- 40,912
wasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa deiwaka..jamaa hakutueleza wala nini yeye kauchuna wakati yeye mwenyewe anaona watu wanavyosugua benchi maskani..mpaka makalio yameota sugu.....sasa nashindwa kuelewa kuwa ni roho mbaya au..nini,?
Kuna mzee aliyempigia pande jamaa hapo bandari...vijana walipomuona anapita na gari yake wakampiga mkono na kuanza kulia lia kuhusu michongo ya kazi..ndipo mzee alipoanza kuwashangaa vijana...akawaambia mbona mimi nilimuagiza***** aniletee vijana..kumi na tano..wote wakashangaa...Umejuaje sasa ....?
Kuna mzee aliyempigia pande jamaa hapo bandari...vijana walipomuona anapita na gari yake wakampiga mkono na kuanza kulia lia kuhusu michongo ya kazi..ndipo mzee alipoanza kuwashangaa vijana...akawaambia mbona mimi nilimuagiza***** aniletee vijana..kumi na tano..wote wakashangaa...
Kuna mzee aliyempigia pande jamaa hapo bandari...vijana walipomuona anapita na gari yake wakampiga mkono na kuanza kulia lia kuhusu michongo ya kazi..ndipo mzee alipoanza kuwashangaa vijana...akawaambia mbona mimi nilimuagiza***** aniletee vijana..kumi na tano..wote wakashangaa...
wasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa deiwaka..jamaa hakutueleza wala nini yeye kauchuna wakati yeye mwenyewe anaona watu wanavyosugua benchi maskani..mpaka makalio yameota sugu.....sasa nashindwa kuelewa kuwa ni roho mbaya au..nini,?
Uhusiano wenu na huyo kijana ukoje? Na tabia zenu pia zikoje? Mna sifa gani mtaani? Ni bangeeee na nyie masaa yoote au kweli nyie ni watu wa kujituma?! Maana usije kuwa unalaumu wakati tatizo limeanzia kwenu!
hamna mkuu..sisi ni watu wa kazi hata mwenyewe analitambua hilo...coz longtime wakati yupo chokambaya...tulibeba naye zege na kuchimba mitaro but mshikaji zali likamdondokea akapata kazi kama hiyo..so anafahamu sisi ni watu wa kazi...kuhusu elimu kwa issue hiyo ambayo jamaa katubania ilikuwa at least mtu wa form 4 tu..sifa ambayo watu wengi wanayo pale maskani..sasa kwanini jamaa kaamua kutubania..?Uhusiano wenu na huyo kijana ukoje? Na tabia zenu pia zikoje? Mna sifa gani mtaani? Ni bangeeee na nyie masaa yoote au kweli nyie ni watu wa kujituma?! Maana usije kuwa unalaumu wakati tatizo limeanzia kwenu!
hamna mkuu..sisi ni watu wa kazi hata mwenyewe analitambua hilo...coz longtime wakati yupo chokambaya...tulibeba naye zege na kuchimba mitaro but mshikaji zali likamdondokea akapata kazi kama hiyo..so anafahamu sisi ni watu wa kazi...kuhusu elimu kwa issue hiyo ambayo jamaa katubania ilikuwa at least mtu wa form 4 tu..sifa ambayo watu wengi wanayo pale maskani..sasa kwanini jamaa kaamua kutubania..?
wasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa deiwaka..jamaa hakutueleza wala nini yeye kauchuna wakati yeye mwenyewe anaona watu wanavyosugua benchi maskani..mpaka makalio yameota sugu.....sasa nashindwa kuelewa kuwa ni roho mbaya au..nini,?
Atakuwa mnyantuzu tu huyowasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa deiwaka..jamaa hakutueleza wala nini yeye kauchuna wakati yeye mwenyewe anaona watu wanavyosugua benchi maskani..mpaka makalio yameota sugu.....sasa nashindwa kuelewa kuwa ni roho mbaya au..nini,?