Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Msuli wa Advance ogopa sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haujawahi mwacha mtu salama
Mkuu umenkumbusha mbal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah kuna mijitu inapanikisha advance aiseeMsuli wa Advance ogopa sana.
Kuna majamaa yanakua yanajaza wengine hofu, ni kweli msuli wa Advance ni mgumu na usipokaza Necta wanakula kichwa ila sasa kuna mijamaa mingine inapiga msuli mpaka wewe usiyeendana na kasi yao unajihisi ushafeli[emoji23]
That time kuna mijamaa ilihamia Dinning Hall na matranka ya materials na vyombo vyao vya chakula yaani wao ni kusoma Non-Stop
Kwa wazembe kama mimi aisee lazima udate maana jamaa unaishi nae room moja but kumuoa ni nadra, anaamka bado umelala, utamuona kwenye foleni ya msosi zaidi ya hapo unaweza kumuona saa kumi usiku akiwa anarudi bwenini kulala wakati huo wewe unaenda toilet kukojoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aise ifunda saivi ni moto wa kuotea mbaliii , shule imekarabatiwa huwezi amini ni ya govt.
Mazingira yake duuh I'm proud to be student of Ifunda the glory
Unasoma combination gani dogo?Msuli wa Advance utabaki pale pale [emoji23]
Hahaha hiyo dogo veepe ushang'amua identity yangu niniUnasoma combination gani dogo?
Kwa hiyo siku hizi watu wazima wanasoma Ifunda sec?Hahaha hiyo dogo veepe ushang'amua identity yangu nini
Mzee baba nipo cbgKwa hiyo siku hizi watu wazima wanasoma Ifunda sec?
SawaMzee baba nipo cbg
Kama hujasoma tusilaumianeNaona wanafunzi mmekutana kwenye uzi wenu,tutawaanzishia na jukwaa lenu mchati sana mkiwa likizo.
Duuh shocking news wasubiri tu nimalizewaziri simbachawene (TAMISEMI) amesema wanafikiria technical schools kam hzo kuwa vyuo vya ufundi.
Siwezi kukimbia shule,hata kama sina malengo ya kuajiliwa,ulipopita wewe mimi nilishapita huko nyuma.Kama hujasoma tusilaumiane
.Duuh shocking news wasubiri tu nimalize
Hahaha aisee pale advance walikua wanapiga msuli heavy lakini matokeo yakija wanapasua wachache sanaMsuli wa Advance ogopa sana.
Kuna majamaa yanakua yanajaza wengine hofu, ni kweli msuli wa Advance ni mgumu na usipokaza Necta wanakula kichwa ila sasa kuna mijamaa mingine inapiga msuli mpaka wewe usiyeendana na kasi yao unajihisi ushafeli[emoji23]
That time kuna mijamaa ilihamia Dinning Hall na matranka ya materials na vyombo vyao vya chakula yaani wao ni kusoma Non-Stop
Kwa wazembe kama mimi aisee lazima udate maana jamaa unaishi nae room moja but kumuoa ni nadra, anaamka bado umelala, utamuona kwenye foleni ya msosi zaidi ya hapo unaweza kumuona saa kumi usiku akiwa anarudi bwenini kulala wakati huo wewe unaenda toilet kukojoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alaaa kumbe na huku upo. safi sanaIfunda oyeee daah yale majengo ni heshima yamedumu sana.. Ukuta kama zege!! Itakua vizuri sana kama huo ukarabati utafanywa kwenye workshops. Proud to be there 2004-07 mirambo K3