ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Wewe dem kama Kimnana utaachaje kumpa hela kwa mfano?Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jasho utakula![emoji23]hivi kwa nini nyoka hana miguu?
Siku utakuja kuuliza kwa nini Wanawake wana zaa.Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Ndiyo ile akipita mrembo utasikia wakubwa wanafaidiKumbuka sio lazima pia. Endelea kujiuliza wakati wenzio wanatupa
Ndiyo ile akipita mrembo utasikia wakubwa wanafaidi
Siyo lazima hela,unaweza kuwapa hata mchele,maharage,viazi,chumvi,sukari n.k.yakaisha..Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Mnawapa pesa kwa ajili ya kununua zile nywele za maiti wanazovaa kichwani,Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.