Hivi kwanini sipendi kukosolewa?

Hivi kwanini sipendi kukosolewa?

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
322
Reaction score
258
Wakuu habari za saizi wakuu,

Kuna jambo linanisumbua sana Mara nyingi nikikosolewa nakuwa na hasira na jazba Sana, nifanyeje niepukane na hii hali nimekuwa nikijitenga sana na watu wanaonikosoakosoa sana.

Natanguliza shukrani
 
Kama una undugu na Mzee kipara sio kosa lako, hiyo ni genetic make up.
 
Wakuu habari za saizi wakuu,

Kuna jambo linanisumbua sana Mara nyingi nikikosolewa nakuwa na hasira na jazba Sana, nifanyeje niepukane na hii hali nimekuwa nikijitenga sana na watu wanaonikosoakosoa sana.

Natanguliza shukrani


Itakuwa unapersonality ya ESFJ
moja ya weekness yako ni kuwa na wasiwasi kuhusu social status yako na unapenda kutamani kulipiza kisasi
 
Back
Top Bottom