Uwezo hana na soon ataungana na America kuomba msaada kummaliza Ukraine
Ndiyo hapo mkiambiwa America ndiye World Superpower mjue. Kwa bahati mbaya kumekuwa na viongozi kama akina Obama, Clinton na Biden kwa kutaka umaarufu wao binafsi ulimwenguni wakaidhoofisha US. Sasa ndiyo mtajua ni kwanini against all odds Trump alirudi na kushinda uchaguzi