Hivi kwanini nchi nzima inajivua nguo ikikabiliana na Lissu?

Sitaki kuamini kwamba Tundu lissu ni mkubwa sana kuliko nchi au taifa la Tanzania. Naamini TL ni mdogo sn kuliko nchi! Sasa iweje viongozi wakubwa wa nchi wakianza kupambana nae tena kwa upya akiwa ughaibuni Kisa tu kaongea BBC? Swali yaani tishio ni hili la juzi tu BBC ndio nchi inaliona?

Kiasi cha msemaji mkuu wa serikali, spika wa bunge na mkuu wa mkoa wa DSM na wengine nisiowajua kuanza kupoteza points na kujiharibia tena kwa kushindana na TL?

Hakuna kitu kibaya kama kushindana na looser! Nadhani system haifanyi kazi vzr Kama ni kuwaharibia TL amewaroast vzr sana viongozi na nchi kipindi chote alichokuwa Belgium maana ametembelewa na international figures zaidi ya 300! Amekuwa na undisclosed conversations nyingi sana na watu muhimu sana duniani!

Kuanza kupayuka kujibu vihoja dhaifu Vya juzi alipokaribishwa BBC ni kuendelea kujidhalilisha sana kama Taifa! Kama kuna watu wakulaumiwa sana sana sana ni waliopelekea TL kwenda kukaa ulaya miaka 2 akitibiwa na kuivua nchi nguo! Hawa ndio kansa kubwa inayoitafuna nchi!

Ushauri; TL ni akili kubwa sana! Kama serikali au nchi iko serious ningewapigia salute kama mngefanya kila linalowezekana mfanye kazi na TL! Ili kuneutralise hasira na mipango ovu ya wazungu juu ya TZ! Mnaweza!!! Alitisha Slaa Leo yuko wapi?

Siku TL atafanya kazi na serikali ya Magu kwa ukaribu na kuapa ndio itakuwa mwisho wa upinzani tz maana mbowe ameshadhoofika sana kisiasa! Fanyeni haya acheni kujivua nguo huko nje mnajiharibia mno hadi kila MTU anahisi kuna kitu kinawala
Lissu ni Mtume mpya wa Mungu kutokea Africa , unajua ukisoma maandiko vizuri utagundua kwamba Hata Yesu Kristo kabla utume wake haujafahamika miongoni mwa watawala wa enzi zile alifanyiwa kama Lissu
 
Back
Top Bottom