Hivi kwanini Napenda watu wenye Negativity na Jamii?

Mtoto Wabibi

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
451
294
Ndugu zangu,

Toka nipo mdogo nimekuwa nikivutiwa sana na watu wanaofanya negativity (kinyume) na jamii hasa uasi,usumbufu, ubishi na hata maisha ya ujanja ujanja.

Na siku zote nimekuwa sana na marafiki kama hawa japo mimi sina sifa hizi.
"uongo ukijirudia rudia (ukisemwa mara nyingi) huwa ukweli" na "maovu(mabaya) yakijirudia rudia huwa mema(matakatifu)"-Hii misemo naona ina function kwangu.

Yani toka mdogo stori kama
-Udikteta: stori za udikteta wa hitler na akina musolini.zilinivutia sana na kuwapenda sana viongozi madikteta. Hata sasa nikiangalia video za hitler na speech zake nafurahi sana na namkubali sana. Japo jamii zipo kinyume kwa udikteta wake.

-Kung'an'gania madaraka na wabishi: watu kama akina mugabe,Gadafi, museveni na watu aina ya kina Dr shein.mfano Gadafi alipingwa sana na jumuiya za kimataifa lakini kwa upande wangu mimi naona ni jembe na mwanaume alikufa na tai shingoni.

-Ugaidi na uasi: watu kama akina osama bn laden, joseph konyi, alqueda na laurent nkunda. Huwa napenda sana ujasiri wao na matukio yao. Nakumbuka enzi hizo stori za osama kila kona. nilikuwa na mdogo wangu alikuwa anapenda kujiita osama. Jamii zilimpinga sana osama lakini mimi nilimkubali

-Majambazi na ubabe: hapa kuangalia video hasa hizi za action udogoni kumeniharibu. Ikafika hata mimi kwenye michezo ya kuigiza kulilia kuigiza sehemu ya jambazi mkuu( enzi hizo shuleni).Na hadi sasa napenda sana video hizo. Nilikuwa na mjomba angu jambazi maeneo ya songea huko( kwasasa marehemu) nilimpenda sana.japo ipo kinyume na maadili ya jamii yetu

-Ufisadi na dili kubwa kubwa: Hapa kuna watu wanasemwa vibaya lakini mimi wananivutia kutokana na madili yao.mfano nyoka wa makengeza yani namuelewa sana tu japo wengi hawampendi.(ile kujirudia rudia kwenye kashfa bila kukamatwa na mwenyewe hajali).Hapa nawapenda wale makonkodi tu (makambale na sio dagaa) wa dili akina JK.

Nawasilisha
 
Ndugu zangu
Toka nipo mdogo nimekuwa nikivutiwa sana na watu wanaofanya negativity (kinyume) na jamii hasa uasi,usumbufu, ubishi na hata maisha ya ujanja ujanja. Na siku zote nimekuwa sana na marafiki kama hawa japo mimi sina sifa hizi.
"uongo ukijirudia rudia (ukisemwa mara nyingi) huwa ukweli" na "maovu(mabaya) yakijirudia rudia huwa mema(matakatifu)"-Hii misemo naona ina function kwangu.
Yani toka mdogo stori kama
-Udikteta: stori za udikteta wa hitler na akina musolini.zilinivutia sana na kuwapenda sana viongozi madikteta. Hata sasa nikiangalia video za hitler na speech zake nafurahi sana na namkubali sana. Japo jamii zipo kinyume kwa udikteta wake.
-kung'an'gania madaraka na wabishi: watu kama akina mugabe,Gadafi, museveni na watu aina ya kina Dr shein.mfano Gadafi alipingwa sana na jumuiya za kimataifa lakini kwa upande wangu mimi naona ni jembe na mwanaume alikufa na tai shingoni.
-Ugaidi na uasi: watu kama akina osama bn laden, joseph konyi, alqueda na laurent nkunda. Huwa napenda sana ujasiri wao na matukio yao. Nakumbuka enzi hizo stori za osama kila kona. nilikuwa na mdogo wangu alikuwa anapenda kujiita osama. Jamii zilimpinga sana osama lakini mimi nilimkubali
-Majambazi na ubabe: hapa kuangalia video hasa hizi za action udogoni kumeniharibu. Ikafika hata mimi kwenye michezo ya kuigiza kulilia kuigiza sehemu ya jambazi mkuu( enzi hizo shuleni).Na hadi sasa napenda sana video hizo. Nilikuwa na mjomba angu jambazi maeneo ya songea huko( kwasasa marehemu) nilimpenda sana.japo ipo kinyume na maadili ya jamii yetu
-Ufisadi na dili kubwa kubwa: Hapa kuna watu wanasemwa vibaya lakini mimi wananivutia kutokana na madili yao.mfano nyoka wa makengeza yani namuelewa sana tu japo wengi hawampendi.(ile kujirudia rudia kwenye kashfa bila kukamatwa na mwenyewe hajali).Hapa nawapenda wale makonkodi tu (makambale na sio dagaa) wa dili akina JK.
Nawasilisha
Hilo ni pepo mkuu
Sema nyuma yangu sala ya toba
Eewe mwenyenzi mungu ...........
............
Amen
 
Kwa sababu wewe ni mtoto wa bibi.

Watoto wa bibi/ waliolelewa na bibi maisha yao ya ukuaji mara nyingi wanaishi katika mazingira yenye misuguano mingi katika jamii na kuwa viburi wa kutupwa.
SO, sishangai sana.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kwa sababu wewe ni mtoto wa bibi.

Watoto wa bibi/ waliolelewa na bibi maisha yao ya ukuaji mara nyingi wanaishi katika mazingira yenye misuguano mingi katika jamii na kuwa viburi wa kutupwa.
SO, sishangai sana.

sina kiburi lakini nawakubali wenye viburi na jeuri
 
nyoka wa makengeza.... mbabe wa wababe jamaa ni mpiga pesa kweli na mwanasiasa
 
kumbe na wewe unamkubali...! tupo wengi
yeah jamaa anajuaa maneno we huoni kujiita nyoka wa makengeza msaka pesa #had watu kwenye mtandao walimmaind kama kauaaaa

jamaaaaa mbabe bila yeye bunge hakuna coz mambo yote wanaenda kumwuliza
 
huyo ndio mzee wa vijisenti..! anawaibia afu mkienda mahakamani ndio nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom