Hivi kwanini mwarabu anamdharau mwanamke?

Status
Not open for further replies.
Katika vitu vinavyokata swalat ni mbwa mweusi au mwanamke akipita mbele za mwanaume anayeswali. Je huku ndiko kumthamini?
NDUGU YANGU UMEMEZESHWA.thats way nakuambia usome uislam kwanza.usisikilize viongozi wako wa ibada wanavyouponda uislam na ukajue ni kwelo.Nahisi ukiusoma Uislam kwa nia njema waweza ukawa miongoni mwa waislam.Wazungu wengi wasilimu kwa ajili tu ya kuusoma huo uislam.
 
wewe mleta mada hujui kitu chochote kuhusu waarabu - wanawake katika nchi za kiarabu wako mbali - kuanzia kielimu hadi kifedha na nafasi yao katika jamii na wanauhuru na heshima kuliko pahali pengi duniani. Arab woman are heading multi billion $ companies in finance, investments , engineering and construction and also they hold top govt jobs 100 most powerful Arab women 2012 - Lists - ArabianBusiness.com
 

Nilikuwa sijui kama neno mwarabu linasimama badala ya dini
 
Hakuna sehemu yeyoye uislam unamnyanyasa mwanamke, inabidi usome japo kidogo kutoa ushamba, watu wanasema tu na wamejengewa kwenye mind zao visivyo ndivyo kuhusu uislam

"Women are your fields: go, then, into your fields whence you please." Quran 2:223, "The Cow,"

Hapa inasema wanawake ni kama mashamba ya wanaume

A male shall inherit twice as much as a female." Quran 4:11, "Women,"

Mwanaume anatakiwa kurithi mara mbili zaidi ya mke
 
hiyo ni sharia law: maana katika sharia law mwanamke hufanywa kama baby factory. Ndio maana ukikumbuka kula Algeria waliposhinda FIS uchaguzi mkuu miaka ya 80, wanawake ndio waliokuwa wakwanza kuandamana mitaani kupingwa kul;etewa sharia za kiislamu.

Kule Iran mwanamka haruhusiwi, kukaa mbele garini na mkewe wakati mmewe akiendesha gari, kwenda mpirani wala kushindana olympic! Saudi Arabia, mwanamke haruhusiwi kwenda mpirani, kuendesha gari wala kukaa sebureni na mmewe wakati mmewe anamaongezi na mgeni.

Somalia mpaka leo mwanaume hatanguzani hotelini na mkewe kula pamoja!

Kaskazini Nigeria mwanamke haruhusiwi kwenda disco,mpirani, kuwa na boyfriend, kuzaa nje ya ndoa hata kama haoeleweki wala kuonesha nywere hadhalani.
 
Hio aya ya kwanza uliyoitaja inahusu wanandoa kwamba mume amuingilie mkewe vyovyote awezavyo katika njia alizozihalalisha mungu.sio kule bondeni.
Hio aya ya pili inahusu kaka na dada yaani mathalan mzee akiacha watoto wa wawili mmoja me mwengine ke.huyu mwanaume anachuku mara 2 ya ke hapa mungu ametumia Hikma.Kwanza mwanaume ni kiongozi wa familia hali mwanamke sio.Mwanamme anaoa mwanamke anaolewa.mwanamme anatoa mahari mwanamke anatolewa.Mungu mara zote anatumia HIKMA.SOMA AYA NA UIELEWE KAMA HUIJAIELEWA TAFUTA SHEHE AKUELEKEZE.
 
Kakende,

Wewe kwanza kweli ni kakende tena kile kilogeuka kabusha.

Kwanza hata hujui waarabu ni nani, pili umekurupuka kuandika bila ya kufanya home work wacha kufanya utafiti. Umeangalia Pakistan na kuweka basi za wanawake, wewe shule gani uliyosoma ukafundishwa kuwa Pakistanis ni Waarabu?

Israel wanawake wanalazimishwa kukaa viti vya nyuma katika public transport buses. Hivi karibuni mwanamke alishushwa basi na.kutemewa mate kwa sababu amegoma kukaa viti.vya nyuma kule Israel.

Mwanamke Daktari tena mwanasayansi alifanikiwa kuvumbua dawa amabayo itaponyesha magonjwa sugu ya watoto basi mgeni wa heshima ambae ni Rabi wa madhehebu ya Orthodox Jews alipangiwa amkabidhi mume wake eti asipokee mwenyewe tuzo sababu ni mwanamke na hapo ukumbini alibidi akakae upande wa.wanawake na hali aliambatana na mume wake pale ukumbini.

Madhehebu hayo hayo yana walazimisha wanaume kuangalia chini wanapotembea mitaani ili wasi waangalie wanawake.

Mtoto wa miaka minane alitemewa mate usoni sababu mama yake amemvalisha kigauni kinachoonesha vipaja vyake.

Matangazo ya biashara kwenye Billboards yanayoonyesha wanawake walovaa bikini au sehemu yoyote inayoonyesha wazi kwenye mwili wa mwanamke kuanzia shingoni hata kwa mfano sehemu ya juu ya kifua basi humwagiwa rangi nyeusi au hata kubomolewa.

Sasa nakupa mfano wa hadithi ya Mtume Muhammad hapa kuhusu Uislam na haki za wanawake:

Sahih Bukhari English - Reference: Sahih Bukhari English,Volume 04,51. Wills,Hadith 025:-

Narrated Az-Zuhri:

`Urwa bin Az-Zubair said that he asked `Aisha about the meaning of the Qur'anic Verse:--

"And if you fear that you will not deal fairly with the orphan girls then marry (other) women of your choice." (4.2-3)

Aisha said, "It is about a female orphan under the guardianship of her guardian who is inclined towards her because of her beauty and wealth, and likes to marry her with a Mahr less than what is given to women of her standard. So they (i.e. guardians) were forbidden to marry the orphans unless they paid them a full appropriate Mahr (otherwise) they were ordered to marry other women instead of them. Later on the people asked Allah's Apostle about it. So Allah revealed the following Verse:--

"They ask your instruction (O Muhammad!) regarding women. Say: Allah instructs you regarding them..." (4.127)

and in this Verse Allah indicated that if the orphan girl was beautiful and wealthy, her guardian would have the desire to marry her without giving her an appropriate Mahr equal to what her peers could get, but if she was undesirable for lack of beauty or wealth, then he would not marry her, but seek to marry some other woman instead of her. So, since he did not marry her when he had no inclination towards her, he had not the right to marry her when he had an interest in her, unless he treated her justly by giving her a full Mahr and securing all her rights.

Asante
 
Last edited by a moderator:
Wale wanawake wanaofanywa mamiss hamuoni kama wanadhilishwa ma wanashushwa thamani?mnabaki na waarabu tu!!yaani mwanamke anabakishwa na chupi tu na sidiria kisha anaonyeshwa live kwenye tv dahh ule ni udhalilishaji kabisa hawana hata haya mwili wake unakuwa nothing eti kisa miss kisa m20.mwambie mkeo kesho atoke hivyo uone utajisikiaje!!
 
Uislam ni unyama. Mtu akimdharau mama yake au mtu sawa na mama yake utamuitaje ?

Japo wewe ni mshenzi lakin usipend kila m2 akujuwe km ww ni mshenz. UISLAM c kabila,rang, jinsia, wala taifa lakin uislam ni dini ya haki, hata akifanya kosa muislam hua kosa limefanywa na muislam halikufanywa na UISLAM.
 
Haya mijitu yote ya midle east wanawanyanyasa sna akina mama.yote haya sbb za imani zao.jews arabs wote n kitu kimoja
 
Kwani mtoa mada kataja muislam au kataja waarabu ina maana waarabu wote ni Waislam hakuna Wakristo.
 

Mkuu mbona kama maneno yako yanakinzana na sura hii takatifu?

"[Forbidden to you are] married women, except those whom you own as slaves." Quran 4:24

Umekatazwa kuoa wanawake walioolewa, lakini ni ruhusa kwa unaowamiliki kama watumwa Quran 4:24

Hii inaonesha utumwa umeruhusiwa
 
ni bora uwe mganga wa kienyeji kuliko kuwa mfuasi wa muhamadans wabaguzi wakubwa .hawana utu kabisa walioa dadangu wamemtesa kama nini mashwaitwaani.
 
hiyo wanazidisha kwann wasiwe na huruma ?uislamu haufundishi hivyo !!!!!!!!:banghead::banghead::banghead::banghead::banghead::banghead::banghead:
 
mleta maada umewashika sharubu wazee wa tende haluahalua..utajuta kuwafaham!
 
Hakuna sehemu yeyoye uislam unamnyanyasa mwanamke, inabidi usome japo kidogo kutoa ushamba, watu wanasema tu na wamejengewa kwenye mind zao visivyo ndivyo kuhusu uislam
Haya mkuu ni kweli, sio uwongo.
Ila tu labda unaweza kuyajengea maelezo kuwa sio unyanyasaji, labda ni kuwajali, kwamba sokoni haendi anaenda mwanaume, hana haja ya kuzurura wala kuendesha gari, mwanaume yupo atafanya kila kitu.

Kuna mdau alinukuu ayat ya Quran iliyosema kuwa a woman is like a domestic animal, yeye akadai kuwa Uislamu umemlinganisha mwanamke na mnyama lakini mdau mwingine akafafanua kuwa sio udhalilishaji, bali ni kumpenda na kumjali kama vile paka anavyopendwa, unamfungia ndani, ukirudi unampa chakula, unambeba na una mstroke gently vinyoya vyake, tafsiri ya namna hiyo..
 
Unaushahidi gani?Hakuna dini duniani inaomthamini mwanamke kama uislam.
Maneno yako sio ukweli. Hebu jifunze Uislam hapa
LAANA NYINGINE KWA WANAWAKE WA KIISLAMU:


Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza. Sahih Muslim - 4.2039


HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
WEWE NI MBAYA KULIKO MAITI ASEMA ALLAH

 
hiyo wanazidisha kwann wasiwe na huruma ?uislamu haufundishi hivyo !!!!!!!!:banghead::banghead::banghead::banghead::banghead::banghead::banghead:

ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!

Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43

HAKIKA CHUKI HII YA ALLAH KWA WANAWAKE WA KIISLAM IMEZIDI!!!
WANAWAKE KWANINI MNAFUTA HUYU KIUMBE ALLAH ANAYE WATUKANA KILA SIKU?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…