Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,967
- 31,909
Kwanini tunakazania kujenga barabara mijini tu badala ya kutengeneza za mikoani?
70% ya watanzania wanaishi vijijini na tunategemea kilimo kama uti wa Mgongo. Kwahiyo wanaohitaji improvement ya infrastructure ni watu wa mikoani.
Kama tuko serious kutaka uchumi wetu ukue, tuanzie mbali kwenye kilimo mashambani huko.