screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Hivi ni kwanini mtu anayeathiriwa na madawa ya kulevya tunafikiria zaidi kumpeleka sober house badala ya kumpeleka selo kuisaidia polisi wanaowauzia madawa? Je ni kweli tumedhamiria kupambana na madawa ya kulevya wakati hatutaki kuwajua wauzaji? Na je hao wanaotoka sober house huwa wanahojiwa au ndio basi?