Hivi kwanini kila nikitongoza mwanamke ni kicheche

Hivi kwanini kila nikitongoza mwanamke ni kicheche

Tatzo unachukua ambao sio rika inaonekana wanafata pochi kwako na mbaya zaidi unashindwa kuwatimizia mahitaji yao ya kingono kutokana na age yako hapo suluhisho tafuta wahenga wenzio
 
Hawa viumbe hakikisha umeshamwoa atleast anaweza akatulia ili kulinda heshima ya ndoa but kipindi hamjaoana wengi ni viruka njia. Ilibidi umpige miti mpaka anase mimba apo akili ya wadada wengi huwa inaanza kurudi kwenye reli
 
Na hio age usipoangalia hautaoa. Solutions unaoa au unamjaza mimba kumtuliza mawengi. Akiendelea kuwa kiruka njia baada ya kufunga ndoa piga chini .
 
Heshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.
Kwanza mm huwa ni mchunguzi na nina wivu kupitiliza, sasa cha ajabu kila nikipata mwanamke lazima tu nimfumanie, ama nigundue ananisaliti. Japo huwa najitoa kwa kila huduma kuwahudumia hawa viumbe. Nimejenga fikra kuwa wanawake wote ni wahuni na wanafanya sex hovyo tu. Cha ajabu huwa nikitaka kuwapiga kibuti huwa hawako tayari. At my age nina mschana ana miaka 20 nipo naye sasa kwa miaka 3, sikuwahi kufikiri kama anaweza kunisaliti. Alienda kwao likizo akiwa hukohuko nikamfumzania usiniulize nlifanyeje coz alikiwa kama 200km away. Akakiri kuwa amigehedwa mara kadhaa na mshkaji mmoja hivi na mara kwa mara nlikuwa nikihitaji namtumia nauli anakuja ama mm namfuata . Sasa nikamwambia tuachane akagoma kabisa alishtaki hadi kwa mama yake
Una nyota ya Jogoo mkuu
 
Pole mkuu, wasichana hawa unawapatia wapi? tuanzie hapo kwanza. Kama unakamata fursa maeneo ya Bar ama club usitegemee kupata kile unachotaka, pili labda hali ya uchumi kwa sasa ni ngumu mnoo wadada wanatafuta fursa wanafanya kazi sana kupata vipodozi, kucha, mawigi, simu kali, kope, nguo za ndani zenye kuvimbisha makalio,Vocha, nauli ya kwenda Mlimani city kupiga selfie kila weekend na mambo kama hayo, sasa mkuu kama huhongi fedha ya maana ahhhh, wanakuwa vicheche tu
 
Na hio age usipoangalia hautaoa. Solutions unaoa au unamjaza mimba kumtuliza mawengi. Akiendelea kuwa kiruka njia baada ya kufunga ndoa piga chini .
Upo sahihi, Mzee mmoja alinishauri hivyo hivyo hususan kwa sisi vijana, kwa sababu akili ya mwanamke akiwa bado kijana inakuwa na mawenge mengi. Akaniambia ukioa tia mimba za haraka haraka kila akivaa nguo akijiangalia kwenye kioo haimpendezi tumbo anaona limeongezeka. Baadae akili yake inakuwa kwenye kulea watoto tu.
 
Back
Top Bottom