Walokole..! Ni kweli wachache wako honest ila wengi wao wanaogopa macho ya watu ila mioyo yao iko mbali na Ukweli..Wanatakiwa waokoke ndiyo watabadilika
Wewe huko bar, na gesti houses unatafuta nini?Kwa wale wakristu/wakristo mtanielewa. Hasa Roman catholic.
Kwanini wakati wa kutoa sadaka watu huenda kutoa kwa unyenyekevu sana? Mwendo hubadilika, facial expressions na body gestures huwa very submissive lakini wakitoka hapo unakutana nao bar, gest houses na wengine washirikina. Je hii ni impact ya docility tuliyowekewa kwenye akili zetu.??
wana-act tu..