Hivi kwanini inakuwa hivi?

Bora mwaya ulivyomkatalia mdada wa watu ungemuumiza bure! Mapenzi ndo yalivyo anayekupenda humpendi unayempenda humpend hata kwa wanaopendana bado hakutakuwa na usawa!! Achana na ushauri wa zorrender na mwenzie Asprin wanachupa ya govinder kumar sahzi watakupoteza buree! Wacha niage!
 
Last edited by a moderator:

shukrani ndugu ushauri wako umenifanya nione nimefanya uamuzi sahihi
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo hapo hajamuumiza??!! Ye mwenyewe kwenye thread anakiri amemuumiza. Si bora angempa tam yake afanye kuja kuumia badae??? Unafikiri huyo dada anajiskiaje sa hv baada ya kukataliwa???
 
Last edited by a moderator:
Nataka uniumize.

 
Last edited by a moderator:
Jaribu kuangalia vitu anavyopendelea huyo mpenzio pengine sio mtu wa kujali hata mambo yake..kama ndivyo alivyo usitaman nchi kavu wewe samaki kwako ni majini....
 

Angekuwepo karibu ningempiga kibao! Sasa nyie subirini tu na hata tuwekeane dau hapa, ndani ya miezi miwili huyu atakuja na kilio cha kusalitiwa!!
Mark my words!
 
Hahaha kumbe nimekudipu?

Ndo ujue mimi na wewe kuna kitu Mungu katupangia. Hebu twende PM tukaangalie uwezekano wa kuvigonganisha vikojoleo vyetu.

hahaha! Sasa babu si itakuwa ajali hiyo vikishagongana!!
 
Kwa hiyo hapo hajamuumiza??!! Ye mwenyewe kwenye thread anakiri amemuumiza. Si bora angempa tam yake afanye kuja kuumia badae??? Unafikiri huyo dada anajiskiaje sa hv baada ya kukataliwa???

hahaha! Ujue imebidi nicheke kwanza aisee! Huu unaitwa ushauri mchungu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…