Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Wewe ndio hauna ushindweHivi hunaga wazazi wewe
Mada zako Ni ovyo kaa na wazazi wakushauri au tafuta kazi ya kufanya Huku nikukosa kaziWewe ndio hauna ushindwe
Kwa sababu mnasura mbayaMada zako Ni ovyo kaa na wazazi wakushauri au tafuta kazi ya kufanya Huku nikukosa kazi
Nimelala kwani mie popoUpuuzi mtupu amka usingizini .
Unajua nafanya Nini Kwa siku nikikupa majukumu yangu Kwa Sasa huo mdomo wako unafungaMada zako Ni ovyo kaa na wazazi wakushauri au tafuta kazi ya kufanya Huku nikukosa kazi
Tunatraka ila usafi uwepoKwahiyo hamtaki hela tena🤨😩🤔
Wanawake ndiyo wanahusika na usafiTunatraka ila usafi uwepo
Wotee jichanganye tuWanawake ndiyo wanahusika na usafi
SijakuelewaMwandiko wa mtoa mada umeenda shule, learn to make sentences.
Naomba kuuliza, mpaka hao watu wazee wanakushauri, olewa na fulani, na sio fulani, inamaana unakuwa umepeleka wanaume wawili home?Nimiaka Sasa bado wanaume wenye sura nzuri,ongea Yao na tembea Yao na mavazi huwadatisha wanawake hata watu wazee wanaume Kwa wanawake wanakushauri uolewe na Fulani nasio Fulani ambaye yupo yupo tu hata kama anahela .
Watu wajf mnashangaza sana mie natoa mifano nyie mnamsema ni mieNaomba kuuliza, mpaka hao watu wazee wanakushauri, olewa na fulani, na sio fulani, inamaana unakuwa umepeleka wanaume wawili home?
Kama ndio kwanini? Kama hapana, how come mtu assugest fulani ambae sio uliyemtambulisha?
Unamuambia nani??Ukiona unakutana na watu wa hovyo, hiyo ni kwa sababu na wewe ni wa hovyo.