Hivi kwanini CHADEMA wanajidharau sana?

Ukweli ni kwamba bila wazungu sisi Watanzania si lolote si chochote. Japokuwa tuna maziwa na mito lakini hata maji ya kunywa wanawezesha wao kuyapata.
 
Ukiangalia mwenendo wa mashabiki wa Lissu alieshindwa Urais na kukimbilia Ubelgiji utaona kwamba wanaamini hawawezi chochote bila wazungu.

Yani chadema wanaamini bila mzungu wanakufa kabisa. Wanalalamika kuonewa na CCM lakini Lissu aliwaambia andamaneni wakaishia kujificha uvunguni, badala yake sasa wanadeka kwa wazungu ili wasaidiwe. Yani hata Bob Wine wa Uganda ambae chama chake kina miaka 3 tu amewashinda! Sijaona wafuasi wa Bob Wine wakijibebisha kwa akina Amsterdam kama hawa jamaa wa hapa kwetu.

Hivi kwa tabia kama hii Tanzania itaanza lini kujitegemea? Kama vijana tunaowategemea wakisikia kukatiwa misaada wanalia kama watoto? Naamini Nyerere angedai uhuru kipindi cha vijana mrenda kama hawa wa chadema angepata tabu sana na ninaamini wange side na wakoloni kumhujumu Nyerere!

BAVICHA mnakwama wapi? Kwanini msiwe ngangari kwamba maisha bila mzungu yanawezekana? Hamuoni kwamba mtu akikunyima samaki ndio anakupa akili ya kutafuta ndoano yako na wewe na kuanza kuvua?

Hivi BAVICHA aina ya Salary slip hata familia mnaweza kulea kweli nyie?
Ni wapumbavu kama wewe ndio wanaojidharau kwa kushabikia uchaguzi wa kishenzi na udikteta wa magu.
 
Back
Top Bottom