Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,517
Mkuu nilikuwa bujumbura siku mbili zilizopita nilishtuka pale kabanga mpakani wakati nachange hela wanani faranga 900 kwa buku la bongo nikabaki na maswali lukuki hebu ngoja waje wataalamu waseme
1 franc of burundi =0.00063us dollar
1 sh of Tanzania=0.00044us dollar
binafsi sikubaliani na sababu zinazotolewa na hao wachumi wetu, eti tunaagiza sana bidhaa nje ndo sababu ya sh. kuporomoka!, kwani tumeanza mwaka huu kuagiza bidhaa za nje? kwanini sh iporomoke kwa kasi hivi wakati miaka yote tunaagiza bidhaa toka nje? hii sababu ni ya kizembe sana.Nadhani wachumi wanaweza kutusaidia lakini sidhani kama wanatuzidi kiuchumi sababu nilikuwa Lusaka Zambia sasa hivi kwacha ya Zambia in strong kuliko South African rand kwa asilimia 100% yaani ukitoa Rand 100 unapewa Z-kwacha 50
Sasa basi kiuchumi Zambia ukilinganisha na south Africa Zambia bado sana
Wachumi please njooni mtufafanulie
wakuu mliobobea kwenye masuala ya uchumi naomba mnisaidie hapa.sote tunafahamu kuwa thamani ya shilingi yetu imeshuka kwa kasi sana.
Wataalam mbalimbali wametoa sababu kadhaa ikiwa ni pamoja na kuingiza zaidi bidhaa za nje kuliko sisi kuzipeleka nje bidhaa zetu.
Pamoja na sababu mbalimbali;swali langu ni hivi juzi nilikuwa burundi pale mpakani pesa yetu ipo chini wakati faranga ya burundi ipo juu,sasa kwanini inakuwa hivyo wakati nchi yao ipo kwenye machafuko hivyo hawazalishi?
Aidha wale jamaa tumewazidi ki-viwanda yaani karibia asilimia tisini ya vitu vya viwandani vinatokea kwetu,kwenye upande wa chakula ndio usiseme,yaani mimi ninashangaa kwanini faranga yao ipo juu wakati wao tunawazidi kwa kila kitu?,
siku nimeenda walikuwa wana-chenji shilingi mia kwa faranga 92,
nawasilisha wakuu.
binafsi sikubaliani na sababu zinazotolewa na hao wachumi wetu, eti tunaagiza sana bidhaa nje ndo sababu ya sh. Kuporomoka!, kwani tumeanza mwaka huu kuagiza bidhaa za nje? Kwanini sh iporomoke kwa kasi hivi wakati miaka yote tunaagiza bidhaa toka nje? Hii sababu ni ya kizembe sana.
Wakuu mliobobea kwenye Masuala ya Uchumi Naomba mnisaidie hapa.Sote tunafahamu kuwa thamani ya Shilingi yetu imeshuka kwa kasi sana.
Wataalam mbalimbali wametoa sababu kadhaa Ikiwa ni pamoja na Kuingiza zaidi bidhaa za nje kuliko sisi kuzipeleka nje bidhaa zetu.
Pamoja na sababu mbalimbali;Swali langu ni hivi Juzi nilikuwa Burundi pale mpakani Pesa yetu ipo chini wakati Faranga ya Burundi ipo juu,sasa kwanini inakuwa hivyo wakati nchi yao ipo kwenye Machafuko hivyo hawazalishi?
Aidha wale jamaa tumewazidi ki-viwanda yaani karibia asilimia tisini ya vitu vya viwandani vinatokea kwetu,Kwenye upande wa Chakula ndio usiseme,yaani mimi ninashangaa kwanini Faranga yao ipo juu wakati wao tunawazidi kwa kila kitu?,
Siku nimeenda walikuwa wana-chenji Shilingi mia kwa Faranga 92,
Nawasilisha wakuu.