Hivi kwanini album ya pili ya albert mangwear "NG'E" wabongo tunaiunderrate sana?

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Jun 30, 2015
2,301
2,347
katika album ambazo zipo underrated basi album ya pili ya Albert Mangwear

Nipe ni dili
speed 120
Bata kila sehemu
kimafia
bonnie and clyde
tuko juu
CNN
wakitaa
Bila muziki
Mapenzi gani

inakosaje kuwekwa hata TOP 10, hii album inatakiwa iandikiwe kitabu.
hakuna album yenye content kama hii kutoka bongo, hakuna.

Wasanii wengi album zao za kwanza ndio zilikuwa kali, mfano album ya pili ya JayMo ilikuwa utopolo compared na ile ya kwanza
 
Sawa mkuu lakini hii ya pili ya ngwea sio utopolo sema alireflect kitu tofauti na ile ya Kwanza.

1.aka Mimi (versitility, bangers, mziki nzuri)
2.NG'E (gangster mentality, content, tight lyricism)

aka Mimi imeacha rekodi lakini NG'E ni philosophy (you can learn a lot)
 
Kuiweka album ya NG'E kwenye top 5 of all time unakuwa umeioverrate sana, enzi hizo kulikuwa na album nyingi kali, mimi siwezi kuifikiria hata top 10.

Kuna album za Prof Jay 2 zilikuwa fire zina hits za kutosha,
kuna Ulimwengu ndio mama ya JayMo,
A.k.a Mimi ya Ngwea,
kuna Album ya Hardblasters,
kuna ya Daz Nundaz,
kuna Elimu Dunia ya Daz Baba,
kuna Album ya Banana,
kuna Ugali ya Nature ,
Machozi ya Jide,
Cinderela ya Alikiba,
Kima Cha Chini ya SoloThang,
Hizo miongoni mwa nilizobahatika kuzisikiliza kwa ukaribu. Naimani kuna na nyingine nyingi kali kuizidi Ng'e
 
katika album ambazo zipo underrated basi album ya pili ya Albert Mangwear

Nipe ni dili
speed 120
Bata kila sehemu
kimafia
bonnie and clyde
tuko juu
CNN
wakitaa
Bila muziki
Mapenzi gani

inakosaje kuwekwa hata TOP 10, hii album inatakiwa iandikiwe kitabu.
hakuna album yenye content kama hii kutoka bongo, hakuna.
Hapo nilizosikiliza ni:-

1. Nipeni Dili Masela.(Ft Dark Master)
2. Speed 120 (Ft Chid Benz)
3. CNN (Ft Fid Q)
4. Tuko Juu.( ft Stivie R&B)
 
Kuiweka album ya NG'E kwenye top 5 of all time unakuwa umeioverrate sana, enzi hizo kulikuwa na album nyingi kali, mimi siwezi kuifikiria hata top 10.

Kuna album za Prof Jay 2 zilikuwa fire zina hits za kutosha,
kuna Ulimwengu ndio mama ya JayMo,
A.k.a Mimi ya Ngwea,
kuna Album ya Hardblasters,
kuna ya Daz Nundaz,
kuna Elimu Dunia ya Daz Baba,
kuna Album ya Banana,
kuna Ugali ya Nature ,
Machozi ya Jide,
Cinderela ya Alikiba,
Kima Cha Chini ya SoloThang,
Hizo miongoni mwa nilizobahatika kuzisikiliza kwa ukaribu. Naimani kuna na nyingine nyingi kali kuizidi Ng'e
We kweki mpenzi wa mziki
 
Mkuu hiyo Album hatukui-underrate. Nadhani kuna tuzo ilichukua.

Pia mimi kama mimi nilitoa hela nikainunua ile kitu. Kwa hela yangu. Nikiwa secondary school.
ile album aisee ina mistari sijawahi ona
i wish itengenezewe kitabu
 
Kuiweka album ya NG'E kwenye top 5 of all time unakuwa umeioverrate sana, enzi hizo kulikuwa na album nyingi kali, mimi siwezi kuifikiria hata top 10.

Kuna album za Prof Jay 2 zilikuwa fire zina hits za kutosha,
kuna Ulimwengu ndio mama ya JayMo,
A.k.a Mimi ya Ngwea,
kuna Album ya Hardblasters,
kuna ya Daz Nundaz,
kuna Elimu Dunia ya Daz Baba,
kuna Album ya Banana,
kuna Ugali ya Nature ,
Machozi ya Jide,
Cinderela ya Alikiba,
Kima Cha Chini ya SoloThang,
Hizo miongoni mwa nilizobahatika kuzisikiliza kwa ukaribu. Naimani kuna na nyingine nyingi kali kuizidi Ng'e
Unafananisha hiyo albam ya Ngwair na Cinderela! Khaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom