Hivi kwanini album ya pili ya albert mangwear "NG'E" wabongo tunaiunderrate sana?

Na mama usijali,ipo siku nitakujengea mjengo,iwe kwa kuuza huu mziki,drugs au Meno ya tembo.
Kabla sijasoma mszengo ,nishapinda
Mimi si mgeni wa warembo so hii vita nitaishinda,na masnitch tutaishia kuonanana tu kwa TV kwani kujuana Sana ndo kuharibiana CV
 
Japo sina hakika, labda hii album ilitoka kipindi ambacho Ngwea hakua na promo kubwa kama iliyofanyika enzi za A.k.a Mimi.
Na pia kusema inaingia kwenye top5 ni uongo (labda iwe kwa mapenzi binafsi) ila 2000s zilitoka albums nyingi kali sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom