HIVI KWA STAILI HII TUTAFIKA?

King klax

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
4,293
2,739
Ndugu zangu wa Afrika naona kila kukicha migogoro mingi huibuka na haisuruhishwi kwa wakati. Migogoro mingi imekuwa ya kung'ang'ania vyeo na mpaka tuchinjane ndiyo wanaanza kusema fulani na fulani mkae pamoja wakati inaeleweka aliye shindwa.... Jamani kweli tutafika?
 
hiv unajua kama ulaya zaman washapigana mpaka vita ya miaka 100, washapinduana sana. ndo mana sasa wametulia sabab wanaheshimiana. safar ya kupata demokrasia ya kwel ni ndef kuliko unavyodhan.
 
Unataka kusemaje?
 
Na hao waliochinjana ndio wanataka na sisi tufanye hivyo na walaaniwe
 
Back
Top Bottom