nisome vizuri fidel, mie wangu nampenda kama wa kumzaa but sio aniletee wa nje zaidi ya mwanangu nikampokea, hiyo anisamehe, huyo wangu mama yake alipofariki 2lienda huko kjjn kwao kuzika, nikamwacha mtoto amalize mcba, baba yake alipoenda kumchukua arudi skul bibi alimkatalia akisema anaogopa mjukuu wake ku2nzwa na mwanamke mwingine(aliogopa acpate manyanyaso ambayo kweli baadhi ya wanawake wanayo kwa watoto wa nje) akamwambia kama unataka kumchukua mwanao naomba umwambie mkeo aje niongee nae kama mwanangu na kama mwanamke anaejua uchungu wa mtoto, nilienda kjjn nikaongea na huyo mama, na nikamwahidi hata yeye yupo free wakati wowote kuja kumsalimia mjukuu wake pale anapojickia, na mtoto akiwa likizo must nimpeleke japo kwa wiki 1 akakae na bibi yake, nafanya yote haya kwa ajili nilimkuta na ckupenda mtoto niliemkuta nae mr ateseke wakati baba yake ana uwezo wa kumsomesha ipasavyo, ni kwa huyo tu mwingine chini ya wa kwangu niliemzaa SITAMPOKEA.