Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
Umpende mwanamke na una hakika anakupenda alafu umuache sababu hajui kupika?? Acha hizo bana... Wee si unajua, it is better wamuoa... Wakati wa honey moon wamfundisha kupika na kila mkipata nafasi... mbona kupika easy kwa mtu yeyote ambae anataka kujua?? Utakua hujamtendea haki huyo mwanamke wala wewe mwenyewe...
HApa nyumbani kwangu hawawezi kupiga vitafunwa, yupo Wife, msichan wa kazi, na mama mkwe wote hakuna kitu.
Sasa huwa nasimama hapa uwanjani natukana wote akiwemo mzaaa hiyo kitu,
Haahaaaaa! Ingekuwa sijaishi Tanga ningedanganyika na hiyo sentence yako eti 'kila kitu watoto wa kike wanafundishwa'. Mtu yeyote kutoka sehemu yoyote anaweza kusema hivyo...
Sio wa pwani lakini samtaimu anakwenda kwenda kwenye vitarabu, lakini sku hizi bana hata hao wa pwani ni zero, unakuta mdada hata kuchemsha mayai hajui. halaf ukimwambia ajitahidi anakujibu kijeuri "babu wee kaowe rice cooker kama unataka mapishi" na hako kasuala inakuwa sababu ya kunyimwa unyumba sku nne. Khaaa! Tutauwana wajameni!
Hote management college mnazitumiaje? I see mimi siwezi kushindwa kupika niko radhi nikakope hela kwa mtu nilete watu watatu wanifudishe kupika.
Siyo malezi ya wazazi ni malezi tuliyojiea wenyewe.
unajua nn Adi mm kwangu kupenda sio sura tu na umbo peke yake kuna vitu vingi tu ikiwemo hilo mapishi, usafi,heshima, n.k n.k na kwangu b4 sijaoa lazima hayo yathibitike wazi sio unajiolea tu halafu nikateseke bure na mabalaa ndani ya ndoa. Kuna wanawake VICHWA NGUMU Adii ni yani balaa
Hahahaha!... Sikuwezi hakyanani!Nimedelete namba zao kabisa. Wapumbaav wakubwa wale.
hahahahah.... Hapo nimekupata....lol... BEST OF LUCK kumpata mke mwema....
haah haah haah Adi yani kweli mtihani wangu then nowdays ndo inakua tabu zaidi bt tunajizuia tu.
Abt topic dah kwa sie wa tanga kila kitu watoto wa kike wanafundishwa tena tangu wadogo, hata mm ni male ila najua kupika pia ila mke bila mapishi kwangu ni zero na hata kama nitampenda i cnt marry her. Mwanamke mapishi bibie na kujua kumtunza mume
thanx Adii hoping mpaka mwakani mwishoni hv nitakua nishajaliwa binti mwema anaefaa kuwa ubavu wangu then Ndoa. Uhudhurie bila kukosa.
Tuombe uzima.... Hata bahati mbaya hata kama sio kuhudhuria... walau kuwajibika hata kama indirectly...
Mpata umenena kweli mkubwa 1 tym nilifika tanga ebwana pamoja na maujuzi yangu kwenye mapish mwenyewe niliinua mikono... Maana mim ni mgumu sana kukubali kuwa kimepikwa vizuri yote hii namshukuru mama yangu mzazi japo mi mwanaume najua kupika sasa nipate mtu sifuri kwenye mapishi mmmh!!
kuwa na house girl hiyo sio tatizo! Shida kubwa kinadada wengi wamekuwa wavivu na hawajitumi wala hawana ubunifu.
mkwe naehapa nyumbani kwangu hawawezi kupiga vitafunwa, yupo wife, msichan wa kazi, na mama mkwe wote hakuna kitu.
Sasa huwa nasimama hapa uwanjani natukana wote akiwemo mzaaa hiyo kitu,
hahahahah.... Hapo nimekupata....lol... BEST OF LUCK kumpata mke mwema....
Bi mkubwa wako inaonekana alipitia JKT kama wa kwangu, No hg kugusa nguo ya mtu. Jmosi nilikua naomba nikatembelee ndugu kuepukana na balaa la nyumbani.Nakumbuka home tulikuwa na house girl lakini alikuwa hagusi nguo zetu tulikuwa tunajifulia wenyewe na kufanya usafi wenyewe