Haki ya MUNGU Ashadii leo umetoa jibu ambalo ni jibu! Nakugongea "ka senks."
kati ya yote hayo naona malezi yanachangia sana. mzazi akishaona an hg basi hataki binti afanye kazi yoyote. kama binti nae ni cha uvivu ndio kabisaaa. sio tu kupika hata kufanya usafi pia wengi hawajiwezi.
unidai soda baadae.
Sista, Ivi kwenu hakuna msichana aliye salia. hata beberu 5000 nipo tayari kwa mawazo haya uliyo yatoa hapa.
AshaDii kaongea vizuri sana.
Nakubaliana na suala la elimu limechangia sana.
Ukitaka kupikiwa vizuri, tafuta mwanamke ambaye hajasoma, ambaye hafanyi kazi! Utaenjoy!
But maisha ya siku hiz ya baba na mama wote wanahangaika..wanatoka usiku wanarudi usiku..huo muda wa huyo mwanamke kuexperience kupika na kujua mapish mbalimbali ataupata wapi?
Chana bateta!
hata sijaelewa hapo.kwani wewe kwana vyakula vizuri unavyojua?si si unaona umekula tu.
we chatu hicho ndio chakula gani?
hata sijaelewa hapo.
Wee Mwajuma ushaivisha? Nna njaa mimi.
Asante Malalika....
Nakubaliana nawe kabisa Mpenzi....
If you don't mind naomba iwe Amarula...
oooh! Hamna... labda niambie una Umri gani niongee na Mupenzi labda waweza kuja jitambulisha kwa ajili ya binti yetu... Mzee yeye mradi una Master card...lol
Rejao naomba nipingane na hii post yako kakangu... na tafadhali tuombe radhi kabisa (ingawa nakubali idadi kubwa iko hivo) Mbona tupo tulosoma na kazi twafanya na chakula twajua kupika.... Hio ni mpangilia mbovu tu wa Mzazi na mpangilio... Nimeona wengine wameongelea swala la wafanya kazi... Mimi nimekulia nyumba ambayo hatujawahi kukosa house gal ndani hata siku moja, saa ingine hata wawili.. BUT Mamangu ndo wale wanawake Strict; ni lazima upangiwe responsibilities ndani... hajali kua unawahi shule ama eti unarudia twisheni... It is just about multi-tasking; learning and being good at it... Mzazi inatakiwa ahakikishe bintiye mpaka anafika age 16 awe anaweza kila kitu kinachohusiana na nyumbani... From kutunza nyumba, budgeting, kutunza nguo (kufua, kunyosha kupanga, walau hata kushona vifungo ama hemming in case imetatuka), Usafi wa kila mahala na mazingira safi ya nyumbani... Hivo hilo swali lako la mwisho.... ni mpangilio tu!
sina muda wa kupika mimi.
Du, we kweli mama wa ukweli
Mke wangu nimeamua kumpeleka Veta maana alinipikia ugali wenye mabonge na unga unga sikuamini ni yeye.
Wanitia mate wallahMa housegirl watatu houseboy mmoja na shambaboy, unategemea watajifunza kupika saa ngapi, siku ingine mwambie akate hizo soseji kidogokidogo, amwagie na korosho then kitunguu, hoho, karoti, mafuta kwa mbali akaange mpaka viwe brown, uone kama hujajilamba, watu wengine sie ni noma kwa mapishi, hakuna kitu kinanishinda kukigeuza kisichopendwa kikawa kinapendwa
Ebu Google Chana bateta food halafu utajua ni chakula gani napenda!
hahahahaha, nimegoogle nikashangaa kisimu changu kimekata network. Lol.
Hebu niambie bana nikajifunze hayo mapishi.