kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi kufanya nae mambo mabaya na ni mtu mwenye heshma zangu.kwa nini akiniona ananichukia na ananisema mabaya kwa wengine ili iweeeejee. so stressful inauma especially mtu akiwa jirani na wewe unamuona mara kwa mara. :'(. mtu kama huyu ana lengo gani mnadhania.
Hivi hukula kijisent chake chochote!!kama ulikula ni sahihi kukuporomoshea hiyo mimaneno..........si ulikula chake!!teh! teh!!!kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi kufanya nae mambo mabaya na ni mtu mwenye heshma zangu.kwa nini akiniona ananichukia na ananisema mabaya kwa wengine ili iweeeejee. so stressful inauma especially mtu akiwa jirani na wewe unamuona mara kwa mara. :'(. mtu kama huyu ana lengo gani mnadhania.
kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi kufanya nae mambo mabaya na ni mtu mwenye heshma zangu.kwa nini akiniona ananichukia na ananisema mabaya kwa wengine ili iweeeejee. so stressful inauma especially mtu akiwa jirani na wewe unamuona mara kwa mara. :'(. mtu kama huyu ana lengo gani mnadhania.
Hiyo inaitwa mfa maji .........wala asikutishe anataka umuogope afu umpe papuchi yako,mwayego wala hata usithubutu coz hizo ni dalili mbaya kwamba siku ukithubutu tu na siku hiyohiyo anakutema na kuanza kukutangaza,hongera mwayego kwa msimamo wako endelea hivyohivyo wala usirudi nyuma.kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi kufanya nae mambo mabaya na ni mtu mwenye heshma zangu.kwa nini akiniona ananichukia na ananisema mabaya kwa wengine ili iweeeejee. so stressful inauma especially mtu akiwa jirani na wewe unamuona mara kwa mara. :'(. mtu kama huyu ana lengo gani mnadhania.
kwa nini mwanaume ukimkataaaa anakuchukia japo hujafanya nae kitu. anakusingizia maovu kwa wengine ili iwejeee.huyu ni mwanaume wa mwanzo kunifata but kujua ni muhuni nimemkataaa. na sijawahi kufanya nae mambo mabaya na ni mtu mwenye heshma zangu.kwa nini akiniona ananichukia na ananisema mabaya kwa wengine ili iweeeejee. so stressful inauma especially mtu akiwa jirani na wewe unamuona mara kwa mara. :'(. mtu kama huyu ana lengo gani mnadhania.
Muonjesha japo kiduchu ataacha kukusema mabaya bana