Mkuu kwanza heri ya mwaka mpya. Biashara unayoizungumzia ni biashara kongwe sana ambayo hata wakati wa Yesu ilikuwepo. Kwa utashi wangu kuna sababu nyingi tu zinazopelekea wanaume kununua ngono. Kati ya hizo ni mifarakano na kutotosheka na kuridhishana ndani ya ndoa kwa wale wenye ndoa na kwa wasiooa yategemea sana na mtu mwenyewe, ukienda kwa dada poa ni fasta ukishalipa unakula mzigo unaondoka. Vijana wengine subira inawashinda hawawezi kubembeleza mwanamke na kusubiria majibu ambayo huchukua wiki kadhaa vilevile huambatana na gharama nyingi ili kuweza kumweka sawa huyo binti, sasa utakuta unachukua muda mrefu kumpata girlfriend na gharama juu zaidi ya ile elfu tano au zaidi utakayo mlipa dada poa. Kingine dada poa mkimalizana kesho hakupigii simu akitaka voucher ya simu, pesa ya kodi, nguo, begi au umpeleke bagamoyo, au umnunulie gari. Kwa wanandoa mitafaruku inayotukumba ndani ya ndoa na kupelekea mama kukunyima unyumba labda kwa wiki na mzee ulizoea daily kugonga, so utakuta mtu anakimbilia kwa dada poa anagonga akitoka hapo kesho hatafutwi kwa sms wala simu. Kwa nini mwanaume wanagonga mwanamke stranger, always mwanaume anakuwa stimulated na kile anachoona na mzuka unapanda pale pale na unajua hawa ma dada poa walivyo na mitego ya kimtindo, kimini na **** la kichina mwanangu kitu lazima kisimame na damu ikisha rush namna hiyo basi akili inaingia udhaifu, mkuu unajikuta unaingia mtegoni unakula mzigo fasta. Kwa akina dada pale siwezi wasemea km wana feel wakiwa kwenye mechi au vipi