Hivi kwa nini haswa mtu anaacha kazi ya maana TZ na kukimbilia USA

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,937
Points
2,000

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,937 2,000
Kuna mkaka jamani alikuwa anakazi nzuri kwenye magazeti bongo alikuwa hakosi .Huyu kaka amekuja USA tena na student visa Hana social Hana ID na Kule bongo kazi aliacha.Nilienda SAMs club nikaingia mlangoni nikamgundua ni mtanzania yupo pale anafanya kazi macdonald na hii macdonald manager mbongo kwa hiyo kamsaidia tu.Dah yaani machozi yalinidondoka ,hivi Huku USA mnakupendea nini.hapa mimi nimemwambia mume wangu akiretire tu half Tanzania half Huku.
 
Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Messages
1,451
Points
1,170

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2012
1,451 1,170
Kuna mkaka jamani alikuwa anakazi nzuri kwenye magazeti bongo alikuwa hakosi .Huyu kaka amekuja USA tena na student visa Hana social Hana ID na Kule bongo kazi aliacha.Nilienda SAMs club nikaingia mlangoni nikamgundua ni mtanzania yupo pale anafanya kazi macdonald na hii macdonald manager mbongo kwa hiyo kamsaidia tu.Dah yaani machozi yalinidondoka ,hivi Huku USA mnakupendea nini.hapa mimi nimemwambia mume wangu akiretire tu half Tanzania half Huku.
Natalia nahisi jibu unalo wewe mwenyewe kwani hicho kilichokufanyeni mkimbilie huko ndicho hicho wenzako wanachodhani kipo.........!
 
Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,146
Points
1,250

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,146 1,250
Wewe uliendaje huko USA? Na ni nini kilichokupeleka huko? Kama ambavyo wewe uliona ni dili kuhamia huko na kujilengesha kwa mwanaume mmarekani ili upate tiketi ya kuishi marekani, basi na wenzako wanatafuta bahati zao.

Bongo kuna kazi gani nzuri? Mtu unalipwa mshahara milioni moja kwa mwezi halafu unakula makato laki nne, hela inayobakia hata mwisho wa mwezi haikufikishi kutokana na inflations zilivyo juu, sasa si bora hata kuwa mzibua vyoo marekani lakini uwe na uhakika wa unachokipata?
 
Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
966
Points
250

Mgaya D.W

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
966 250
Kuna mkaka jamani alikuwa anakazi nzuri kwenye magazeti bongo alikuwa hakosi .Huyu kaka amekuja USA tena na student visa Hana social Hana ID na Kule bongo kazi aliacha.Nilienda SAMs club nikaingia mlangoni nikamgundua ni mtanzania yupo pale anafanya kazi macdonald na hii macdonald manager mbongo kwa hiyo kamsaidia tu.Dah yaani machozi yalinidondoka ,hivi Huku USA mnakupendea nini.hapa mimi nimemwambia mume wangu akiretire tu half Tanzania half Huku.
Kila mtu hutafuta pale anapodhani aweza kupata riziki,so suala la kukosa ni matokeo tu na lazima uje kuwa kukosaa miak miwili haina maana utakosa kila siku.Anachokitafuta anakijua vizuri kwa kuwa hata uzoefu kuupata ni gharama.So mumeo atavyostaafu yeye atakuwa mtu mwingine so mpe nafasi afanye lile moyo wake unafurahia.
 
Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,937
Points
2,000

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,937 2,000
Natalia nahisi jibu unalo wewe mwenyewe kwani hicho kilichokufanyeni mkimbilie huko ndicho hicho wenzako wanachodhani kipo.........!
Baba angu mzungu mmarekani . Nimekutana na mume wangu college Washington .wazazi wangu walinisomesha na nilikaa boarding George Washington .mama Angu mbongo,mume wangu mzungu.makupenda TZ kiliko Huku.kwa kweli sijatoka Kwenye shida
 
Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,937
Points
2,000

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,937 2,000
Wewe uliendaje huko USA? Na ni nini kilichokupeleka huko? Kama ambavyo wewe uliona ni dili kuhamia huko na kujilengesha kwa mwanaume mmarekani ili upate tiketi ya kuishi marekani, basi na wenzako wanatafuta bahati zao.

Bongo kuna kazi gani nzuri? Mtu unalipwa mshahara milioni moja kwa mwezi halafu unakula makato laki nne, hela inayobakia hata mwisho wa mwezi haikufikishi kutokana na inflations zilivyo juu, sasa si bora hata kuwa mzibua vyoo marekani lakini uwe na uhakika wa unachokipata?
My father is American na my mummy mtanzania .mzazi wangu alikuwa a nafanya world bank huku.mimi mtoto wa fisadi ninaletewa tuition fees na pocket money.huyu kaka wanamtegemea bongo.mimi wazazi wangu wanauwezo situmi pesa bongo may be marafiki zangu wakikwama na wacheki
 
Inaelekea uko USA wewe waambie wenzio ukweli
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
18,111
Points
2,000

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
18,111 2,000
hahahaha! Natalia mjengoni lolest! sikauki kucheka mie.
haya usishangae nae ni mtoto wa fisadi na yuko huko kwa kazi maalum. pengine anawachunguza watu kama nyie lol! usikonkludi bila kuwa na uhakika.
 
Last edited by a moderator:

Singo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,056
Points
2,000

Singo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,056 2,000
Mtu yoyote ana haki ya kuishi sehemu yoyote duniani ambayo anaamini atakua na peace of mind.it feels gud to be in US.
 
Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,146
Points
1,250

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,146 1,250
My father is American na my mummy mtanzania .mzazi wangu alikuwa a nafanya world bank huku.mimi mtoto wa fisadi ninaletewa tuition fees na pocket money.huyu kaka wanamtegemea bongo.mimi wazazi wangu wanauwezo situmi pesa bongo may be marafiki zangu wakikwama na wacheki
Congrats for you are benefiting the fruits of your mom's submission to a mzungu. Waache na wenyewe wajaribu bahati zao, labda watoto wao watafaidika kama unavyofaidi wewe. Bila shaka hujui maisha ya Tanzania hivi sasa. Yaani Tanzania tangu alipoingia baba Ridhiwani madarakani ni shida tupu. Hata ulipwe milioni mbili haitoshi kitu. Maisha ni magumu hayawezekani. Ndiyo maana nasema ukiona kuna uwezekano wa kupata hata kazi ya kulamba vyoo huko marekani ukajipatia dola 1000 kwa mwezi, halafu ukatumia 500, na 500 nyingine ikabaki, wewe utakuwa una maisha bora kuliko watanzania zaidi ya milioni thelathini walioko Tanzania.
 
msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Points
0

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0
Kuwa na fedha au kuwa na kazi nzuri huku maanishi raha ya maisha au anafurahia maisha, siku zote Mtu ana chake ambacho kina mfaa hata huyo jamaa hapo Macdonald ndipo yeye alipoona Moyo wake unafirijika na anapata raha ya maisha, pia huwezi jua huenda anasoma na kufanya vibarua ili kujipatia kitu kidogo, Siri ya maisha ya mtu anajua mtu mwenyewe, Hata wewe hatuwezi jua siri ya maisha yako kama unachuna mabuzi ya kizungu, Au una Mume na Bwana hiyo wewe tu,
 
mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
4,535
Points
0

mtotowamjini

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
4,535 0
:biggrin1: tena ningeshauri huyo jamaa umtambulishe kwa ndugu wa buzi lako ili na yeye ajiopoee mmarekani wa kuoa na yeye aishi huko na hivi obama anawajali immigrants huwezi jua mnaweza pata makaratasi chapchap
 
Forum statistics

Threads 1,390,085
Members 528,081
Posts 34,042,413
Top