Hivi kwa hii bei ya Airbus tungeweza kweli?

Joined
Sep 8, 2015
Posts
27
Reaction score
7
Maoni yangu tuu: Kama kawaida ya Google inatoa misaada mingi, Leo nimejaribu kuwauliza gharama za hizi ndege mbili yaani bomb Q400 na Airbus a300-200 katika price na capacity, nimechoka.

Airbus a300-200...... 715 passengers capacity
Bomb.... Q400........ approximately 76 passengers capacity

Mathematical comparison
715/76~~ 9 inamaanisha unaweza kuwa na Bomb... Q400 9 ili kumbeba watu 715.

Airbus a300-200 price ni US dollar mil 200
Bomb... Q400 price ni US dollars mil 27

Mathematical comparison
$mil 200/$ mil 27~~7 inamaana unanunua Bomb... 7 zaidi ukiwa na Airbus 1.

Swali:

1. Hivi kwa nini tumeshindwa nunua bomb Q400 saba 7 ili tushinde soko la ndani

2 Ukubwa wa Tanzania na mamlaba yote tutaweza kusafili kwa dege 2 na idadi hii ya watu kusafiri kwa gharama nafuu si itakuwa foleni sana.

3. Mapato ya hizi ndege si yataishia kwa wafanyakazi wa viwanjana hata kama kubana matumizi ila sio kwa yasio na faida.

4. Naamini tungekuwa tunasafiri wengi kwa bei naafuu kuliko sasa na maana ya kwenda Newala na Dodoma ingekuwa simpo kupata usafiri wa huko kwa air.

5. Hivi viwili kwa ukubwa wa Tanzania hautoshi kwa sababu kwa siku approximately mikoa yote ilitakiwa kutembelewa na hizo ndege then more faida na usafiri kurahisishwa.

6. Mimi maoni yangu nataka more pangaboi ili tuenjoy kuwa Tanzania kwa anga.
 
Hili jambo limekaa kwa ajili ya kutafuta sifa zisizokuwa na msingi wowote ndio maana yametokea uliyoyaona.

Ila tu usitegemee kutokea unayoyatarajia hivi karibuni
 
Mmmh! Hivi mikoa yote ndege zinatua eee! Mweeh!
 
Umejidanganya A330-200 maisha yako haiwez accommodate idadi unayoandika hapo
 
Maoni yangu tuu: Kama kawaida ya Google inatoa misaada mingi, Leo nimejaribu kuwauliza gharama za hizi ndege mbili yaani bomb Q400 na Airbus a300-200 katika price na capacity, nimechoka.

Airbus a300-200...... 715 passengers capacity
Bomb.... Q400........ approximately 76 passengers capacity

Mathematical comparison
715/76~~ 9 inamaanisha unaweza kuwa na Bomb... Q400 9 ili kumbeba watu 715.

Airbus a300-200 price ni US dollar mil 200
Bomb... Q400 price ni US dollars mil 27

Mathematical comparison
$mil 200/$ mil 27~~7 inamaana unanunua Bomb... 7 zaidi ukiwa na Airbus 1.

Swali:

1. Hivi kwa nini tumeshindwa nunua bomb Q400 saba 7 ili tushinde soko la ndani

2 Ukubwa wa Tanzania na mamlaba yote tutaweza kusafili kwa dege 2 na idadi hii ya watu kusafiri kwa gharama nafuu si itakuwa foleni sana.

3. Mapato ya hizi ndege si yataishia kwa wafanyakazi wa viwanjana hata kama kubana matumizi ila sio kwa yasio na faida.

4. Naamini tungekuwa tunasafiri wengi kwa bei naafuu kuliko sasa na maana ya kwenda Newala na Dodoma ingekuwa simpo kupata usafiri wa huko kwa air.

5. Hivi viwili kwa ukubwa wa Tanzania hautoshi kwa sababu kwa siku approximately mikoa yote ilitakiwa kutembelewa na hizo ndege then more faida na usafiri kurahisishwa.

6. Mimi maoni yangu nataka more pangaboi ili tuenjoy kuwa Tanzania kwa anga.

The A330-200 is the shorter-fuselage variant of Airbus’ A330 twin-engine widebody family, and has the versatility to cover all ranges from short-haul to true long-haul, with ideal sizing for point-to-point operations.

Its optimised 222-inch fuselage cross-section – which is shared with the other members of Airbus’ A330/A340 Family – accommodates 247 passengers in a comfortable three-class cabin layout that provides more window and aisle seats in much quieter cabins. As a modern jetliner, the A330-200 provides the latest in-flight entertainment, including video-on-demand, mobile telephone and email via satellite.

Another advantage of the A330-200’s fuselage is its large-capacity underfloor cargo holds, which accommodate industry-standard LD3 containers in side-by-side loading, as well as 96-inch pallets.

The A330-200 is well established with major carriers around the world, and has become a preferred aircraft for charter and leisure operators, as well as the growing low-cost long-haul market segment. With Airbus commonality in cockpit and cabin systems, an increasing number of airlines that fly the single-aisle A320 Family are discovering the advantages of stepping up to the widebody A330-200 for higher-capacity, longer-range service.
 
Na bado kijikampuni chenyewe kina madeni kama mbwa koko, wameshindwa kukipa hata hizo ndege
 
Tobaaaaaaaaaa... yani Airbus A330-200 ina iwezo wa kubeba abiria 715??!!
Kiongozi hebu cheki vizuri vyanzo vyako vya information!!
 
Maoni yangu tuu: Kama kawaida ya Google inatoa misaada mingi, Leo nimejaribu kuwauliza gharama za hizi ndege mbili yaani bomb Q400 na Airbus a300-200 katika price na capacity, nimechoka.

Airbus a300-200...... 715 passengers capacity
Bomb.... Q400........ approximately 76 passengers capacity

Mathematical comparison
715/76~~ 9 inamaanisha unaweza kuwa na Bomb... Q400 9 ili kumbeba watu 715.

Airbus a300-200 price ni US dollar mil 200
Bomb... Q400 price ni US dollars mil 27

Mathematical comparison
$mil 200/$ mil 27~~7 inamaana unanunua Bomb... 7 zaidi ukiwa na Airbus 1.

Swali:

1. Hivi kwa nini tumeshindwa nunua bomb Q400 saba 7 ili tushinde soko la ndani

2 Ukubwa wa Tanzania na mamlaba yote tutaweza kusafili kwa dege 2 na idadi hii ya watu kusafiri kwa gharama nafuu si itakuwa foleni sana.

3. Mapato ya hizi ndege si yataishia kwa wafanyakazi wa viwanjana hata kama kubana matumizi ila sio kwa yasio na faida.

4. Naamini tungekuwa tunasafiri wengi kwa bei naafuu kuliko sasa na maana ya kwenda Newala na Dodoma ingekuwa simpo kupata usafiri wa huko kwa air.

5. Hivi viwili kwa ukubwa wa Tanzania hautoshi kwa sababu kwa siku approximately mikoa yote ilitakiwa kutembelewa na hizo ndege then more faida na usafiri kurahisishwa.

6. Mimi maoni yangu nataka more pangaboi ili tuenjoy kuwa Tanzania kwa anga.

Airbus a300-200...... 715 passengers capacity???????? Acha kudanganya watu mchana kweupe.
Airbus a300-200 maximum ni seat 266
Airbus latest a 380 seat 856.
Hizi 380 kwa mashirika makubwa nyingi zinaanzia dubai kuunganisha america zinapiga masafa marefu ndo zinazokuaga na gorofa juu na chini

Fast jet wana airbus a319 maximum seat ni 145
 
Okay but Miss text on the threed
 
Maoni yangu tuu: Kama kawaida ya Google inatoa misaada mingi, Leo nimejaribu kuwauliza gharama za hizi ndege mbili yaani bomb Q400 na Airbus a300-200 katika price na capacity, nimechoka.

Airbus a300-200...... 715 passengers capacity
Bomb.... Q400........ approximately 76 passengers capacity

Mathematical comparison
715/76~~ 9 inamaanisha unaweza kuwa na Bomb... Q400 9 ili kumbeba watu 715.

Airbus a300-200 price ni US dollar mil 200
Bomb... Q400 price ni US dollars mil 27

Mathematical comparison
$mil 200/$ mil 27~~7 inamaana unanunua Bomb... 7 zaidi ukiwa na Airbus 1.

Swali:

1. Hivi kwa nini tumeshindwa nunua bomb Q400 saba 7 ili tushinde soko la ndani

2 Ukubwa wa Tanzania na mamlaba yote tutaweza kusafili kwa dege 2 na idadi hii ya watu kusafiri kwa gharama nafuu si itakuwa foleni sana.

3. Mapato ya hizi ndege si yataishia kwa wafanyakazi wa viwanjana hata kama kubana matumizi ila sio kwa yasio na faida.

4. Naamini tungekuwa tunasafiri wengi kwa bei naafuu kuliko sasa na maana ya kwenda Newala na Dodoma ingekuwa simpo kupata usafiri wa huko kwa air.

5. Hivi viwili kwa ukubwa wa Tanzania hautoshi kwa sababu kwa siku approximately mikoa yote ilitakiwa kutembelewa na hizo ndege then more faida na usafiri kurahisishwa.

6. Mimi maoni yangu nataka more pangaboi ili tuenjoy kuwa Tanzania kwa anga.

Kama mtu hujui kitu bora ukae kimya
 
Babu alikuwa anasema ujuaji ukizidi sana mwishowe utashika MAVI
 
Okay but Miss text on the threed
Niliamua kuanza na introduction yako kwanza. Hata kitabu tunaanza kwanza kusoma Preface ukiona unadanganywa katika preface huna haja ya kuzama ndani kusoma utapoteza muda wako bure.

Nikija katika maswali yako sidhani kama umefanya utafiti mpaka ukauliza hayo maswali. Kushika soko sio lazima uanze na ndege nyingi. hata fast jet alianza na ndege moja baada ya kuona biashara imekubali ndo akaongeza zingine 3. Umefanya utafiti ukaona abiria wa kupanda ndege ni wengi sana mpaka hizo mbili hazitawatosheleza?
 
Back
Top Bottom