Hivi Kwa Haya Magufuli Anastahili Kua Mwenyekiti Wa CCM Taifa Kisha Rais Wa Nchi?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
kiushabiki inawezekana ukaamini kua magufuli anaweza kua mwenyekiti wa ccm taifa, rais wa tanzania na amiri jeshi mkuu jambo ambalo kiuhalisia sivyo amekua anaongea kwa mbwembwe nyingi na kupiga porojo nyingi ambazo kiuhalisia hazitekelezeki ingawa lengo langu si kuandika juu ya hayo lakini maadamu amekua akijinasibu kua ataleta mabadiliko ya kweli nabaki kujiuliza yafuatayo

1 huyu alie kamata meli kimakosa serikali ikashndwa kesi na sasa mabilion ya kodi ya watanzania yatatumika kulipa hiyo gharama

2 huyu aliesababisha tafrani kubwa kwa kusimamia sheria ambayo alikua na uhakika haitekelezeki alipopambana na madereva wa malori tafrani iliyopelekea mtoto wa mkulima kuepusha shari

3 huyu alie choma nyavu za wavuvi ambazo walizinunua kwa pesa na kuzikatia ieseni halali ya kuvulia samaki 4 huyu aliesimamia kwa bomoabomoa isiyozingatia utu wala ubinadam huku watu tukivunjiwa nyumba bila kupewa fidia.

ANAWEZAJE KULETA MABADILIKO KAMA SI MAAFA!

Hebu nileteeni hapa rekodi yake ya busara kama kiongozi mkuu.
 
5.Huyu aliyetelekeza familia yake akafata mchepuko na kuujengea hotel huku watoto wanashindwa kwenda shule bora lakini wa mchepuko anawapeleka shule bora.
Huwezi kuwa amiri jeshi mkuu mtu ambaye hata mke wake hamkubali na kakataa kabisa kujishirikisha na mambo yake kwani anamjua kuwa ni MUONGO
 
6. Huyu huyu alishindwa kutolea ufafanuzi juu ya upotevu wa Tsh. Billion 262 za Wizara anayoiongoza.
7. Ni huyu huyu alidharau mahakama Kule Nzega wakati wa kesi ya uchaguzi ya Kafumu na kukataa kuhudhuria mahakamani kwa makusudi na kuudanganya umma kuwa mgonjwa huku akiwa bungeni na kujibu hoja mbali mbali.
8. Ni huyu huyu bila kutumia busara aliwaambia wananchi wa Kigamboni kama hawana Tsh. 200 basi wapige mbizi.
9. Ni huyu huyu alisimamia ununuzi wa kivuko kibovu cha MV Magogoni ambacho kilifanya safari moja tu ya kwenda na kiliporudi hakijasafiri tena.
 
Semen yote lkn huyohyo ndo tunamtaka.kampen zimewashinda mnatafuta sababu zisizo na mashiko wananchi hawadanganyik kihivyo
 
Back
Top Bottom