Hivi kwa Dar es salaam, Kanisa la Mtakatifu Petro liko sehemu gani?

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,489
37,771
Mimi ni mgeni hapa Dar nina siku 6 tu tangu nimefika. Leo nimemsikia mkuu wa mkoa wa Dar as salaam akitutangazia kwamba misa ya kuombea mwili wa marehemu Rais wetu John Magufuli itafanyika Kanisa la Mtakatifu Petro.
Kwa wenyeji naomba kujua mahali halisi lilipo Kanisa hilo.
 
Back
Top Bottom