Hivi kuwa Mwanaharakati ni Razima Kupinga Kila Jambo na Kuhamasisha Fujo!!!

ALLEN KP

Senior Member
Mar 28, 2017
118
31
Watanzania wenzangu ebu tuulizane, kuwa mwanaharakati ni razima kupinga kila jambo ata kama lina manufaa kwa taifa na mwanaharakati wa kweli ni razima awe mwenye kupenda fujo!!!
75522e0fa16c24f227a95ca73e42897b.jpg
 
Kuna ulazima gani kuwa mwanaharakati huku unapingana na vyombo vya dola kila siku!!! Au huo ndiyo ushujaa???
 
Unaelimu gani mkuu chekechea ,au elimu ya msingi? Au hukwenda shule kabisa? Nadhani jibu lako lipo kati ya hayo matatu maana kwa hoja yako sidhan kama una elimu zaid ya level hizo nlizo zitaja.
 
Mtoa mada hujaonesha hao wanaharakati wanaopinga kila kitu ni akina nani. Pia hujaonyesha kwa namna gani wanapinga kila kitu. Bandiko lako halina mashiko kabisa.
 
Watanzania wenzangu ebu tuulizane, kuwa mwanaharakati ni razima kupinga kila jambo ata kama lina manufaa kwa taifa na mwanaharakati wa kweli ni razima awe mwenye kupenda fujo!!!
75522e0fa16c24f227a95ca73e42897b.jpg
Ungelijua inakopelekwa condom baada ya kutumika usingepost huu ujinga hapa
 
Kama analeta fujo si apelekwe mahakamani aende jela akapumzike? Mbona sasa akifika majaji wanamuachilia huru ? Inabidi mjipime nyie vijana wa CCM mnaonekana vituko mbele ya wananchi. Kazi ya kujenga viwanda imewashinda mmebaki kukimbizana na wapinzani
 
Watanzania wenzangu ebu tuulizane, kuwa mwanaharakati ni razima kupinga kila jambo ata kama lina manufaa kwa taifa na mwanaharakati wa kweli ni razima awe mwenye kupenda fujo!!!
75522e0fa16c24f227a95ca73e42897b.jpg
Namkumbuka mama Kijo Kisimba ,yeye mabaya yote kwa serikali na mema yote hata kama ni mabaya kwa upinzani,mama wa watu kutwa yupo kwenye vyombo vya habari kuipinga serikali,sijawahi kumsikia huyu mama akiisifia serikali,sijui ni hasira ya vile vi kompyuta vyao kuchukuliwa au basi ni mahaba binafsi ya hiyo SACCOS yao.
 
Watanzania wenzangu ebu tuulizane, kuwa mwanaharakati ni razima kupinga kila jambo ata kama lina manufaa kwa taifa na mwanaharakati wa kweli ni razima awe mwenye kupenda fujo!!!
75522e0fa16c24f227a95ca73e42897b.jpg
Your message is void and invalid due to the bad use of Kiswahili.
Awali nilijua kuwa ni hand mistake nilipoona umerudia kosa hilohilo nimekupigia filimbi, mpira kati .
Nilimshangaa mjamaa mmoja anasoma HKL sasa akiandika barua au risala ,utakutana na makosa mpaka ukome.
 
Back
Top Bottom