1.SI KILA MWANAMKE NI WA KUTONGOZA,Wana JF nimekuwa nikijiuliza siku nyingi swali hili na sipati jibu sahihi.Utakuta umempenda mtu unaona ni heri umueleze kilicho moyoni mwako tena kwa upendo na upole tu,lakini matokeo yake majibu utakayokutana nayo inakuwa kama vile ni adhabu,utaambiwa huna adabu,kamtongoze mama yako,utapewa misonyo,pengine hata kichapo toka kwa watu,wengine waliwahi hata kusakiziwa mbwa,na mbaya zaidi unawezakuta mtu hakutaki lakini anaamua tu kukukomesha kwa kukupa shida zake zoote na wewe kwa kuwa umependa basi utamtimizia na bado unaambulia patupu.Mengine tunayokutana nayo wakuu mnaweza kuongezea lakini swali langu ni hilo,je kutongoza ni kosa mpaka wanaume tustahili adhabu zote hizi?
suala kuwa ona hovyo wala sio ila ni kutokujiamini na kumuamini mtongozaji. Kinachotia wasiwasi ni kama kweli wanafahamu kuwa kutongoza sio suala la hovyo hovyo na sio kosa hivyo kustahili majibu yasiyo ya hovyo au kutoa hukumu za matusi otherwise tuziweke principles na taratibu za kutongoza na yupi anafaa kutongozwa na nani, kitu ambacho cjui kama ni real(natural) love tunayozungumziaKutongoza ni aina ya Taaruma fulani, unatakiwa ufanye upembuzi yakinifu kwanza juu ya huyo unayetaka kumtongoza.
kumbumbuka kwamba yeye sio mgeni na mambo hayo na inawezekana ana mtu wake, huo ukali ni kumthibitishia mtu wake kuwa hatoi nje sambusa yake, au kuonyesha kwamba yeye sio mwanamke wa hovyo hovyo wa kutongozwa hadharani.
hivyo kwanza mchunguze anavutika kwako kabla ya kuanza kumwaga sela.
kumbuka hakuna kisichowezekana katika dunia hii, hata nungunungu huzaa pamoja na kuwa na miiba mwili mzima:nono: jipange upya utafanikiwa.
Hapo na mimi ndio najiuliza inakuwaje inafikia mpaka hatua ya mwanamke kujikusanya na wapambe wake kukupiga mawe ilhali wewe unatongoza tu?
There are currently 24 users browsing this thread. (14 members and 10 guests)
Wakuu naona tuko wengi sana tunaofuatilia mada hii lakini michango michache na wengi wanao changia wanafundisha tu kutongoza lakini swali wanalikwepa tufanyeje basi ili kuepuka adhabu hizi tunazozipata?
Labda hapa mkuu utujuze kama unatafuta demu wa kugonga tu one-time kisha ukimbie au unatafuta mchumba ukaoe???kama ni kugonga tu fasta , sidhani kama unapasa kuweka usanii wote huu, kwa style ya maisha ya sasa!
PakaM hata chui huzaa, nimeona sana hizi tabia, watu wamepigwa mawe na vitu kama hivyo lakini mwishowe unasikia wamekuwa mume na mke. Namkumbuka dada mmoja age yetu enzi hizo alikuwa anakujatusimulia
..... hebu mwone kwanza alivyo mweusi ......... hata hajui kuvaa suruali, sijui infantria n.k. na maneno kibao ..... lakini jamaa hakukata tamaa miezi tisa baadae nasiki nanihii kachumbiwa na fulani ........ hapo sasa
kama na wewe ulikuwa unampiga madongo jamaa ujue imekula kwako .......... ila saa nyinge uvumilivyo unakushinda ....... afu ukiachi na kuondoka baada ya muda wanaanza kujilengesha tena .........
inachanganya:smile:
Wana JF nimekuwa nikijiuliza siku nyingi swali hili na sipati jibu sahihi.Utakuta umempenda mtu unaona ni heri umueleze kilicho moyoni mwako tena kwa upendo na upole tu,lakini matokeo yake majibu utakayokutana nayo inakuwa kama vile ni adhabu,utaambiwa huna adabu,kamtongoze mama yako,utapewa misonyo,pengine hata kichapo toka kwa watu,wengine waliwahi hata kusakiziwa mbwa,na mbaya zaidi unawezakuta mtu hakutaki lakini anaamua tu kukukomesha kwa kukupa shida zake zoote na wewe kwa kuwa umependa basi utamtimizia na bado unaambulia patupu.Mengine tunayokutana nayo wakuu mnaweza kuongezea lakini swali langu ni hilo,je kutongoza ni kosa mpaka wanaume tustahili adhabu zote hizi?
kutongoza si kosa na hakuna mtu anastaili adhabu kwaa jili ya kutongoza .....
hakuna mtu ambaye leo hii angekuwa ameolewa au kuwa na partner kama si kutongozana ........
lakini ni sisi wa 21st century ndo tunao haribu jinsi ya kutongozana......
yaani we una mfuata mtu halafu kitu cha kwanza unasema "dada we ni mzuri nikioga nakuona kwenye beseni" hivi kweli....
Unamuona kwenye Beseni siyo Tub?[/QUOT]
besini na wengine wanakuona kwenye glass ya maji.....
Blaza tatizo kubwa ni timimg.
Kila kitu duniani ni timing tu.
ukisoma alama za nyakati unaweza mpata yeyote umtakaye.
Uhandsome pekee si hoja Shule mmmh!
Pesa, nayo wakati fulani haioni ndani.
Timing ndo kila kitu blaza.
ukitongoza onyesha kwamba umezimika, siyo kwa masafa mafupi bali ya kati.
Eti maneno mawili matatu mara unaonyesha nia na dhamira ya kula uroda.
Wakati mwingine mimacho yako au hata posing yako inaonyesha jinsi unavyotamani.
Mademu wengi cha kwanza wakipendacho ni mahusiano, ni urafiki siyo majambos.
Majambozos ni matokeo tu.
Mimi pamoja na shati langu la kutoboka mabega, enzi zangu nisha wahi tembelea mijiwanja ya nguvu bila nini wala ni.
Blaza timing blaza.
Usisukumwe na hamu ya kutaka uroda, ujenzi wa hoja na mfuatano wa mambo ndiyo jambo la kujenga msukumo.
Usilazimishe mambo hata siku moja.
Ukiwa huku majuu pochi ndo inatongoza.
Huku hapendwi mtu kwanja lake wala sura,inapendwa pochi tu.
pole paka,kwa kweli hii ya hadi kupigwa mawe sio tu hakutaki bali hakupendi.
hii kali sio siri,sorry lkn nimecheka sana.