Hiyo unayoongelea ni michezo ya ma-teen. Hebu pata busara za watu wazima na utayaona ya kawaida?
Kama uko under 18 au ndo umevuka basi unahitaji kusaidiwa. Let us know how we can help u. Kutongoza hata rafiki wa sister wako ni kawaida tu na hutakiwi kupata mateso. Suala ni jinsi unavyofanya kitu hicho. U need to be very strategic vinginevyo unaaibika kama ilivyokutokea! The bottom line ni kuwa hujafanya kosa lolote hapo.
Mkuu hiyo ya rafiki wake sista ilikuwa bado nipo janki, ingawa ilinipa fundisho pia. Ila hili la kumpigia simu demu halafu anaweka loud speaker tena anakuchombeza na maneno matamu ili ubwabwaje utumbo akuchore na rafiki zake nimeishuhudia kwa macho yangu mtu akifanyiwa. Sometimes hawa watoto wa kike wanapenda sana kunyanyasa wakigundua kuwa mtu mzima kwake umefika, mi ndo maana siamini kwenye kupenda. Kiufupi nimekuwa tena sana tu. Otherwise, nashukuru kwa ushauri.
Yaap! akiwa mkali we kuwa mlaini baaaaaaaasi! shughuli imeshakwisha hiyo! kama unamsukuma mlevi!:smile-big:
Lakini wanaotupaga adhabu hizi si wapo humu, mbona wako kimya hata hawasemi ni kwa nini huwa wanatupatia hizi adhabu.Wapi Preta,Rose1980,MariaRosa,Wakuchakachua,Katelero, Nyamayao,naomba mtuambie basu wapi tunapokosea mpaka kustahili adhabu zote hizi
Kweli hii kali, hadi hatua ya kupigwa mawe lol! Mi nshasakiziwa mbbwa tu ila mawe hiyo ni next level
Kuna mwingine alikwenda kutongoza akaitiwa polisi na kuwekwa ndani sasa jamani ni haki hiyo?
May be wanaweza ....ila mimi naona kama ni issue za teens ndo maana wanawake wazima hawawezi kuona kama ni tatizo kwao. May be watakuja kuwasaidia. Hata hivyo kadri muda unavyokwenda ndio wakina mama wanapogundua kuwa michezo yao wanayofanya kwenye mob ni hatari kwao wenyewe kwani wengine huishia kukosa si BF tu bali hata mtu wa kumsalimia!
[/COLOR][/SIZE]
Hilo nalo ni neno,Lakini naomba nikuulize tu mkuu DC kwani wewe bado unatongoza oops sorry I mean yaani watu wazima yaani wazee nao huwa wanatongoza na kama ndio wao hukutana na adhabu gani,maana mtoto akivunja kikombe na baba akavunja kikombe hichohicho adhabu zao hazita fanana.
Kwa taarifa yako
Mwanamke akikaa wiki hajatongozwa hujiona hajakamilika
Kumbuka pia
Hata chui/simba jike huzaa
Hii sina uhakika sana Kibweka, wiki!
kuna mwalimu wetu (alikuwa sista wa kanisani) kuna siku aliibuka kutusema kuwa ukijiona wewe kila mwanaume anakutongoza ujue una kasoro.............. akatolea mfano wa embe inayofwatwa na inzi wengi ni ile iliyooza... so, ukiona kila wiki unatongozwa ujue umeoza, ha haaaaaaaaaaa. sasa sijui alikuwa na maana wakaka wanakuona wewe ni njia rahisi kupita! mi sijui; maana hata wale ma-forward wa kwenye mpira wanaangalia yupi ni weak beki ili wapite kwa urahisi!
Hapo umeeleweka vizuri sana mama lakini bado niko na swali langu,ni wapi ambapo huwa mwanaume anakosea na kustahili adhabu zote hizo?
Mkuu,
Kuna vitu viwili muhimu sana..ukivikosea utajuta..APPROACH yako na TIMING. Kamuulize mtu yeyote atakwambia umhimu wa vitu hivi.
Kwa hiyo mkuu hapo nilipo hilight ina maana mtu ukikosea hapo unastahili adhabu si ndio unavyomaanisha?
Kwani mtu akikosea anapewa presidential salute?
Mkuu,
Kuna vitu viwili muhimu sana..ukivikosea utajuta..APPROACH yako na TIMING. Kamuulize mtu yeyote atakwambia umhimu wa vitu hivi.
Hapo umeeleweka vizuri sana mama lakini bado niko na swali langu,ni wapi ambapo huwa mwanaume anakosea na kustahili adhabu zote hizo?
Sawasawa nkuu umesomeka lakini ntauliza tena, mtu akionesha upendo wake ni sawa kweli kumrudishia adhabu?
Wana JF nimekuwa nikijiuliza siku nyingi swali hili na sipati jibu sahihi.Utakuta umempenda mtu unaona ni heri umueleze kilicho moyoni mwako tena kwa upendo na upole tu,lakini matokeo yake majibu utakayokutana nayo inakuwa kama vile ni adhabu,utaambiwa huna adabu,kamtongoze mama yako,utapewa misonyo,pengine hata kichapo toka kwa watu,wengine waliwahi hata kusakiziwa mbwa,na mbaya zaidi unawezakuta mtu hakutaki lakini anaamua tu kukukomesha kwa kukupa shida zake zoote na wewe kwa kuwa umependa basi utamtimizia na bado unaambulia patupu.Mengine tunayokutana nayo wakuu mnaweza kuongezea lakini swali langu ni hilo,je kutongoza ni kosa mpaka wanaume tustahili adhabu zote hizi?
Bola uwe kama mimi soma basi avarter yangu basi :A S angry: