Master Bros - Nini maana ya Maisha. (c) 2002Kwani kusudi la maisha ni nini?
Miaka 80-120 ijayo hatutakuwepo hapa duniani, tutakufa, tutazikwa na kuwa mavumbi. Kitu kitakachobaki labda ni skeleton zetu chini ya ardhi kama ushahidi kuwa tulikuwepo.
Watu wanasoma, wanapata ajira, wanakuwa na familia halafu mwisho wa siku wanakufa 🙄
Wakifa wanakuja wengine wanazaliwa, wanaishi, wanapata familia halafu wanakufa. Wakifa hao pia wanakuja wengine wanazaliwa wanaishi halafu wanakufa, na hao wakifa wanazaliwa wengine halafu wanaendeleza mzunguko uleule. Ili iweje? Hii cycle ya existence ina maana gani?
Sio sisi tu, kuanzia kuku, mbuzi, samaki, simba yani viumbe vyote vinakuja duniani, vinaishi halafu vinakufa. Vikifa vinakuja viumbe vingine kuendeleza mzunguko uleule.
Cha kushangaza kuna hadi small creatures kama bakteria ambavyo navyo vinaishi vinakufa nk, ili iweje 🧐🙄
Aliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Wote tunaliwa tu sio kuku pekee ,usijisahaulishe.Kuku zinatotolewa na kuliwa tu! Ngoja waje..🤔
Kweli unaweza ukajitengenezea mazingira yako ya ku enjoy maisha ukaishi kwa raha hadi unakufa na ndio kitu cha maanaUshazaliwa hivyo , una nafasi ya kuyapa maisha maana , na hakuna haja ya kuogopa kufa kwa sababu pia hata kabla ya kuzaliwa haukuwepo tu na wala hakukua na tatizo lolote
Ili iweje{ وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِیَعۡبُدُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 56]
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi
{ مَاۤ أُرِیدُ مِنۡهُم مِّن رِّزۡقࣲ وَمَاۤ أُرِیدُ أَن یُطۡعِمُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 57]
Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe
إِنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلرَّزَّاقُ ذُو ٱلۡقُوَّةِ ٱلۡمَتِینُ (58) }
[Surah Adh-Dhāriyāt🙂 Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti.58]
Umeumbwa ili uje kufanya ibada
Duh 🙄{ وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِیَعۡبُدُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 56]
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi
{ مَاۤ أُرِیدُ مِنۡهُم مِّن رِّزۡقࣲ وَمَاۤ أُرِیدُ أَن یُطۡعِمُونِ }
[Surah Adh-Dhāriyāt: 57]
Na sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe
إِنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلرَّزَّاقُ ذُو ٱلۡقُوَّةِ ٱلۡمَتِینُ (58) }
[Surah Adh-Dhāriyāt🙂 Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti.58]
Umeumbwa ili uje kufanya ibada
Kiimani Mungu ana mipango yake, ila nje ya imani sidhani kama ni cycle bali ni kama evolution, dunia ilianza kwa single cell organism ikaenda tukapata modern human being kisha cilivization ikaanza mpaka sasa tuna Artificial intelligence hivyo tutazidi ku evolve kadri siku zinavyoenda, ila ukisema ni cycle ina maana tutakuja kuwa tena single cell kisha kuwa tulipo sasa tena na tena, wakati sio kitu kama hicho au lau kama unasema reincarnation basi nahisi itakuwa ni cycleAliyetengeneza huu mfumo ni nani, na lengo lake lilikuwa ni lipi haswa? Nashindwa kuelewa kabisa hii cycle. It feels so meaningless
Mi siliwi mkuu😎Wote tunaliwa tu sio kuku pekee ,usijisahaulishe.
Mimea → wanyama → vifo → kuoza → virutubisho → mimea tena.Kweli unaweza ukajitengenezea mazingira yako ya ku enjoy maisha ukaishi kwa raha hadi unakufa na ndio kitu cha maana
Ila tu sielewi hii cycle ipo ajili gani. Mfano kuna watu walikuwepo karne 17 zilizopita huko sasahivi hata hawapo tena, walikuja wakaishi wakafa na sisi leo 2026 tunaendelea kurudia kilekile wanachofanya, ila huu mzunguko una lengo gani?
Nashindwa jinsi ya kuliweka swali vizuri likaeleweka kirahisi
Tena unaliwa mara mbili, na mchwa na cha mtu huliwa na mtu🤣Mi siliwi mkuu😎
Nefaah!!Tena unaliwa mara mbili, na mchwa na cha mtu huliwa na mtu🤣
Muhimu tuyape maana maisha tu ili tupate cha kutufariji ndio maana akili ya binadamu ikaunda IMANI ya Mungu ili kuyapa maana maisha tuKuzaliwa kuzurura kuteseka kufa
Niliposema cycle sikumaanisha kuwa mtu mmoja anazaliwa leo halafu anakuja kuzaliwa tena na tena na tena. Pia sikumaanisha kuwa tunazunguka kwenye evolution eti kuwa ipo siku tutakuwa primates tena kurudi kwenye single cell organism, hapanaKiimani Mungu ana mipango yake, ila nje ya imani sidhani kama ni cycle bali ni kama evolution, dunia ilianza kwa single cell organism ikaenda tukapata modern human being kisha cilivization ikaanza mpaka sasa tuna Artificial intelligence hivyo tutazidi ku evolve kadri siku zinavyoenda, ila ukisema ni cycle ina maana tutakuja kuwa tena single cell kisha kuwa tulipo sasa tena na tena, wakati sio kitu kama hicho au lau kama unasema reincarnation basi nahisi itakuwa ni cycle