Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Muulize DAB
Anasema hapendi kuongelea katiba kwakua hakuwahi kuinadi kipindi cha kampeni,,,,lakini najiuliza mbona kuna mambo mengi tu hakuwahi kuyaongelea wala kuyanadi kipindi cha kampeni na sasa hivi anayafanya?Masuala yenye maslahi mapana ya kitaifa ni lazima tuyajadili kwa kina
Hilo swali zuri sana la kumuulizaAnasema hapendi kuongelea katiba kwakua hakuwahi kuinadi kipindi cha kampeni,,,,lakini najiuliza mbona kuna mambo mengi tu hakuwahi kuyaongelea wala kuyanadi kipindi cha kampeni na sasa hivi anayafanya?
njaa mbaya mkuuMaprof wa Tz ni sawa na watoyo wa vhekechea wana msifu ilibawa teue waache kula chaki... Humuonibsijuibanaitwa nanii alikuwa mzuri na mtetezi wa katina baada ya kupewa ulaji kajitoa fahamu kabisa sasa kila kitu yeye ni kusifia tuu.. Njaa ni shida sana. Ila kina siku mawe yataongea
Wewe umepangwa humu JF ku-clash hata yale mawazo mazuri yanayotolewa kwa maslahi mapana ya Taifa hili.......
Badala yake umekuwa mtu wa kumsifu kwa kila jambo analofanya/ analosema Magufuli!
Siwezi kupoteza muda kujibishana nawe
Unarudia uchaguzi kwa sababu za kijinga ndio unaona bora kuliko kutengeneza katiba mpya!!! Kweli ukiwa ccm huna tofauti na mbuzi kwenye kupambanua mamboSuala la kurudia uchaguzi lipo kikatiba/kisheria na si matakwa ya mtu. Katiba mpya ulikuwa mchezo wa watu kupiga hela.
Wabunge wa upinzani wapo tayari kuhudhuria vikao vyote vyabunge a la katiba bila posho yoyoteMtu yoyote anayetaka Katiba mpya Tanzania yetu kwa sasa ni mvivu na hana kazi ya kufanya, vinginevyo angekuwa kazini, kamuulize Muhindi Dewji na familia yake kama hata wanajua chochote au hata kujali kuhusu hiyo mnayoiita Katiba mpya!