Hivi kurudia uchaguzi na kuandaa Katiba mpya, ni lipi lina maslahi mapana kwa Taifa letu?

Tumemsikia wenyewe siku ya jana kwenye kongamano la uchumi, lililofanyika chuo kikuu cha Dar, Rais Magufuli akieleza kuwa hawezi kutenga fungu la pesa kwa ajili ya kuwapa posho wajumbe kwa ajili ya kuandaa Katiba mpya!

Akaendelea kueleza Mheshimiwa Rais kuwa ni heri pesa hiyo aipeleke kujenga reli ya Standard gauge........

Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusu msimamo huo wa Rais. Je tunavyotumia mabilioni ya pesa katika kurudia uchaguzi, kwa wagombea wanaotoka upinzani, wakigombea kwa nafasi zile zile walizokuwa nazo awali, je hayo ndiyo matumizi mazuri ya pesa zetu??

Vile vile nimjulishe Mheshimiwa Rais kuwa kilio cha Katiba mpya ni cha mamilioni ya watanzania, na wanaoipinga hii Katiba mpya ya Tume ya Warioba ni watu wachache sana walioko kwenye ngazi ya utawala

Hivi ngoja nimuulize swali jingine Mheshimiwa Rais, hivi hii pesa ya kuandaa Katiba mpya inatoka mifukoni mwake??

Kwa kuwa kwa namna alivyoongelea kuwa yeye hawezi toa pesa za kuwalipa posho "bure" kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, utadhani pesa hiyo inatoka mifukoni mwake!

Nimuulize swali jingine, hivi haoni jinsi Taifa linavyopoteza mabilioni ya shilingi katika kurudia chaguzi ndogo kutokana na CCM "kuwanunua" wabunge hao wa upinzani??

Hivi tukilinganisha matumizi ya kurudia chaguzi ndogo na Taifa kupata Katiba mpya, hivi ni matumizi gani ambayo kiuhalisia ni ya hovyo kabisa??

Kwa kuwa kwa namna alivyoongelea Jana, ni kama pesa hiyo anavyoionea uchungu kama inatoka mifukoni mwake na hazitoki kwenye hazina ya Taifa!

Nipende tu kumfahamisha Mheshimiwa Rais kuwa ametoa mawazo yake binafsi na ya wenzake wachache wa CCM, lakini atambue kuwa mamilioni ya watanzania bado wanaililia Katiba mpya, kwa kuwa wanajua kuwa Katiba iliyopo sasa ni kama ya mfumo wa chama kimoja cha CCM na imempa madaraka makubwa mno Rais, na ndicho wananchi wanachoona umuhimu wa kupata Katiba mpya

Kwa hiyo niwashauri wananchi, tusikatishwe tamaa na kauli ya Mheshimiwa Rais na tuendelee kuidai kwa nguvu zote ili nchi yetu iweze kupata Katiba mpya ambayo ndiyo itakayotupa dira nzuri na ustawi wa nchi yetu na ndiyo itafaa katika kipindi cha sasa cha mfumo wa vyama vingi

Mungu ibariki Tanzania
Umrsahai kidogooo au sanaaa. Kirudia uchaguzi wa watu ilio wapa hela wahame vyama vyao na unawarudisha hao hao.. Sio kwamba wamekufa.. Halafubana tuonyesha ana huruma sana na sisi ati katiba ita tumia pesa vibaya... Aibuuui.. Kwani ni naninaliharibu rasimu kama sio Ccm?? Na yeye alikuwa mshiriki.. Mbona haku yoka nje kama UKAWA??? Hizi stori awaaambie wajinga wa 1947 sio kizazi hiki..
 
Suala la kurudia uchaguzi lipo kikatiba/kisheria na si matakwa ya mtu. Katiba mpya ulikuwa mchezo wa watu kupiga hela.
Hivi hela hiyo hata isipopigwa wewe kapuku nini cha mno ??!! Ameziba hiyo anayoita mianya , maisha ya kawaida ya watu ipo Je ?!.

Uchaguzi wa kuwatolea watu deadline ya kuhama kwa faida yako we kapuku kweli ?!
 
Tumemsikia wenyewe siku ya jana kwenye kongamano la uchumi, lililofanyika chuo kikuu cha Dar, Rais Magufuli akieleza kuwa hawezi kutenga fungu la pesa kwa ajili ya kuwapa posho wajumbe kwa ajili ya kuandaa Katiba mpya!

Akaendelea kueleza Mheshimiwa Rais kuwa ni heri pesa hiyo aipeleke kujenga reli ya Standard gauge........

Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusu msimamo huo wa Rais. Je tunavyotumia mabilioni ya pesa katika kurudia uchaguzi, kwa wagombea wanaotoka upinzani, wakigombea kwa nafasi zile zile walizokuwa nazo awali, je hayo ndiyo matumizi mazuri ya pesa zetu??

Vile vile nimjulishe Mheshimiwa Rais kuwa kilio cha Katiba mpya ni cha mamilioni ya watanzania, na wanaoipinga hii Katiba mpya ya Tume ya Warioba ni watu wachache sana walioko kwenye ngazi ya utawala

Hivi ngoja nimuulize swali jingine Mheshimiwa Rais, hivi hii pesa ya kuandaa Katiba mpya inatoka mifukoni mwake??

Kwa kuwa kwa namna alivyoongelea kuwa yeye hawezi toa pesa za kuwalipa posho "bure" kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, utadhani pesa hiyo inatoka mifukoni mwake!

Nimuulize swali jingine, hivi haoni jinsi Taifa linavyopoteza mabilioni ya shilingi katika kurudia chaguzi ndogo kutokana na CCM "kuwanunua" wabunge hao wa upinzani??

Hivi tukilinganisha matumizi ya kurudia chaguzi ndogo na Taifa kupata Katiba mpya, hivi ni matumizi gani ambayo kiuhalisia ni ya hovyo kabisa??

Kwa kuwa kwa namna alivyoongelea Jana, ni kama pesa hiyo anavyoionea uchungu kama inatoka mifukoni mwake na hazitoki kwenye hazina ya Taifa!

Nipende tu kumfahamisha Mheshimiwa Rais kuwa ametoa mawazo yake binafsi na ya wenzake wachache wa CCM, lakini atambue kuwa mamilioni ya watanzania bado wanaililia Katiba mpya, kwa kuwa wanajua kuwa Katiba iliyopo sasa ni kama ya mfumo wa chama kimoja cha CCM na imempa madaraka makubwa mno Rais, na ndicho wananchi wanachoona umuhimu wa kupata Katiba mpya

Kwa hiyo niwashauri wananchi, tusikatishwe tamaa na kauli ya Mheshimiwa Rais na tuendelee kuidai kwa nguvu zote ili nchi yetu iweze kupata Katiba mpya ambayo ndiyo itakayotupa dira nzuri na ustawi wa nchi yetu na ndiyo itafaa katika kipindi cha sasa cha mfumo wa vyama vingi

Mungu ibariki Tanzania
Pesa inayotumika kuwanunua madiwani, wabunge, wenyeviti na wanachama wa upinzani, kurudia chaguzi ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza Reli zote nchini ktk mfumo wa standard gauge, tatizo Tanzania ni CCM kuwaona wananchi wake ni mbumbumbu hawajui kudai chochote ndiyo maana kapuunza katiba mpya kwa visingizio feki vya ukosefu wa pesa, hata pesa iliyojenga Chato Airport ingetosha kuandaa katiba mpya na chenji ingebakia.
 
Mtu yoyote anayetaka Katiba mpya Tanzania yetu kwa sasa ni mvivu na hana kazi ya kufanya, vinginevyo angekuwa kazini, kamuulize Muhindi Dewji na familia yake kama hata wanajua chochote au hata kujali kuhusu hiyo mnayoiita Katiba mpya!
Mvivu asiyekuwa na kazi ni mamayako aliyekuzaa kwa kukosa kazi?

Wewe una kazi gani?
 
maprofesa masela wale wanasifia ili wateuliwe
Maprof wa Tz ni sawa na watoyo wa vhekechea wana msifu ilibawa teue waache kula chaki... Humuonibsijuibanaitwa nanii alikuwa mzuri na mtetezi wa katina baada ya kupewa ulaji kajitoa fahamu kabisa sasa kila kitu yeye ni kusifia tuu.. Njaa ni shida sana. Ila kina siku mawe yataongea
 
Tunahitaji mabadiliko katika mifumo mingi tuliyonayo sasa, na haya yote hayatawezekana kama hatutabadili msingi mzima ambao hayo yote yamejengwa juu yake... Otherwise itakua ni sawa na kutaka kupandisha ghorofa la kisasa juu ya msingi wa tope usioendana na ujenzi wa kisasa. Wanaolipinga hili wana maono yao, yaweza yakawa yana manufaa kwa taifa letu pendwa lakini hili la msingi mpya linapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu kwa maana nionavyo mimi huu msingi wa tope tulionao umekua ukitoa mianya kwa wenye nia mbaya kuangusha mara kwa mara kuta zetu hivyo kuchelewesha ujenzi wa ghorofa letu. Kweli inawezekana kuna baadhi ya mataifa yaliyopiga hatua hayajawahi kubadili misingi yao hilo hatupingi lakini wamefanya maboresho mara kwa mara na mda mwingine maboresho makubwa ya kihistoria kadri ilivyofaa.. Twaweza jifunza toka kwao walifanyaje ili tusitumie saruji nyingi kwenye maboresho ilhali kuta zinatusubiri.

Ni hayo tu.
 
Mtu yoyote anayetaka Katiba mpya Tanzania yetu kwa sasa ni mvivu na hana kazi ya kufanya, vinginevyo angekuwa kazini, kamuulize Muhindi Dewji na familia yake kama hata wanajua chochote au hata kujali kuhusu hiyo mnayoiita Katiba mpya!
You are right
 
Umrsahai kidogooo au sanaaa. Kirudia uchaguzi wa watu ilio wapa hela wahame vyama vyao na unawarudisha hao hao.. Sio kwamba wamekufa.. Halafubana tuonyesha ana huruma sana na sisi ati katiba ita tumia pesa vibaya... Aibuuui.. Kwani ni naninaliharibu rasimu kama sio Ccm?? Na yeye alikuwa mshiriki.. Mbona haku yoka nje kama UKAWA??? Hizi stori awaaambie wajinga wa 1947 sio kizazi hiki..
Mtukufu anawadharau wananchi wa Tanzania kwa kiwango cha kutisha bajeti wanayolipwa wasiojulikana na akina Le mutuz, Musiba na wenzao kwa ajili ya propaganda kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla ni pesa ambazo zingeweza kukamilisha katiba mpya na chenji kubaki
 
Tumemsikia wenyewe siku ya jana kwenye kongamano la uchumi, lililofanyika chuo kikuu cha Dar, Rais Magufuli akieleza kuwa hawezi kutenga fungu la pesa kwa ajili ya kuwapa posho wajumbe kwa ajili ya kuandaa Katiba mpya!

Akaendelea kueleza Mheshimiwa Rais kuwa ni heri pesa hiyo aipeleke kujenga reli ya Standard gauge........

Nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa kuhusu msimamo huo wa Rais. Je tunavyotumia mabilioni ya pesa katika kurudia uchaguzi, kwa wagombea wanaotoka upinzani, wakigombea kwa nafasi zile zile walizokuwa nazo awali, je hayo ndiyo matumizi mazuri ya pesa zetu??

Vile vile nimjulishe Mheshimiwa Rais kuwa kilio cha Katiba mpya ni cha mamilioni ya watanzania, na wanaoipinga hii Katiba mpya ya Tume ya Warioba ni watu wachache sana walioko kwenye ngazi ya utawala

Hivi ngoja nimuulize swali jingine Mheshimiwa Rais, hivi hii pesa ya kuandaa Katiba mpya inatoka mifukoni mwake??

Kwa kuwa kwa namna alivyoongelea kuwa yeye hawezi toa pesa za kuwalipa posho "bure" kwa wajumbe wa Bunge la Katiba, utadhani pesa hiyo inatoka mifukoni mwake!

Nimuulize swali jingine, hivi haoni jinsi Taifa linavyopoteza mabilioni ya shilingi katika kurudia chaguzi ndogo kutokana na CCM "kuwanunua" wabunge hao wa upinzani??

Hivi tukilinganisha matumizi ya kurudia chaguzi ndogo na Taifa kupata Katiba mpya, hivi ni matumizi gani ambayo kiuhalisia ni ya hovyo kabisa??

Kwa kuwa kwa namna alivyoongelea Jana, ni kama pesa hiyo anavyoionea uchungu kama inatoka mifukoni mwake na hazitoki kwenye hazina ya Taifa!

Nipende tu kumfahamisha Mheshimiwa Rais kuwa ametoa mawazo yake binafsi na ya wenzake wachache wa CCM, lakini atambue kuwa mamilioni ya watanzania bado wanaililia Katiba mpya, kwa kuwa wanajua kuwa Katiba iliyopo sasa ni kama ya mfumo wa chama kimoja cha CCM na imempa madaraka makubwa mno Rais, na ndicho wananchi wanachoona umuhimu wa kupata Katiba mpya

Kwa hiyo niwashauri wananchi, tusikatishwe tamaa na kauli ya Mheshimiwa Rais na tuendelee kuidai kwa nguvu zote ili nchi yetu iweze kupata Katiba mpya ambayo ndiyo itakayotupa dira nzuri na ustawi wa nchi yetu na ndiyo itafaa katika kipindi cha sasa cha mfumo wa vyama vingi

Mungu ibariki Tanzania
CCm haijawai kua na kiongozi mwenye maono ya mbele hata mmoja na ndo mana nchi imefika hapa.
We soma comments za wanalumumba utaona jinsi ambayo hawawezi kuona mbele. Watakuambia kutaka katiba hakuna umuhimu.
Yani wanataka kujenga nyumba juu ya mchanga im
 
Wewe umeshiba trilion 1.5 mpaka umejitoa fahamu zote
Ungetulia kidogo ungenielewa. Huyo Barbarosa ndo mimwambie yuko right kwa comment kama ile. Hata mwanaCCM hawezi kukubaliana na mawazo mfu kama yale. Yeye mwenyewe amenielewa.
 
Mtu yoyote anayetaka Katiba mpya Tanzania yetu kwa sasa ni mvivu na hana kazi ya kufanya, vinginevyo angekuwa kazini, kamuulize Muhindi Dewji na familia yake kama hata wanajua chochote au hata kujali kuhusu hiyo mnayoiita Katiba mpya!
Kwan wale huwa ni wa tz ? mbona wana shule, vyuo, hospital na huduma nyinginezo huwa ni za kivyao vyao? hata wengine wakikaribia kufa uenda canada, sasa hao ndo utajilinganishanao??
 
Back
Top Bottom